Madada wa vyuo vikuu na ndoto za kuolewa na vibopa wakati amesomeshwa na mwenza wake ambaye ni hoe hae

Mama na Dada MTU wangetakiwa wachomwe kama mishikaki ndo amalize na huyo msupuu .... ***** zao.
 
Ni mambo ya ajabu kumusomesha MTU kwa ajili ya kumuoa. Hii no blackmail. Kama unasomesha msomeshe tu akila kona endelea na mambo yako. Kwa sababu kuchukua maamuzi aliyochukua inazihilisha ana mapungufu makubwa ya kushindwa kuzimiliki hisia zake. Na mazala yake ataishia jera.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwann wanakubaki mwanzoni. Kama mtu unajua huna future nae mbeleni. Mteme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alimuita jamaa dhaifu,hilo neno lime cost maisha yake.
Ni mambo ya ajabu kumusomesha MTU kwa ajili ya kumuoa. Hii no blackmail. Kama unasomesha msomeshe tu akila kona endelea na mambo yako. Kwa sababu kuchukua maamuzi aliyochukua inazihilisha ana mapungufu makubwa ya kushindwa kuzimiliki hisia zake. Na mazala yake ataishia jera.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure kwa waseja wote kama unatakakuoa mwanamke mwenye kiwango cha elimu kuanzi degree na kuendelea, fizia kipindi cha mahafali ya vyuo utawapata tu wapo wengi.
Lakini hii tabia ya kuchukua majukumu ya HELSB kulipia mtu ada na mambo mengine ukitegemea malipo ya ndoa yatakukuta ya Patrick.
Waseja wote kaeni mkijua jukumu la kusomesha mtoto ni la mzazi wake na kama umeamua kujitolea kumsomesha mtu fanya kama unatoa sadaka usitegemee malipo ya aina yoyote.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom