Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,917
- 31,770
juma3 namie ntakivaaMie ninacho mwayaaa, kinigne cha mpauko pia. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
juma3 namie ntakivaaMie ninacho mwayaaa, kinigne cha mpauko pia. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
asanteeAvatar yako ni bora zaidi hapa JF best angu 😋😋😋
tuombe msamahaSare ya watoa kinyeo iyo
Unakaribishwa bebee.asantee
😀😀 mtindi kama wotee kibuyu kinamwagika asaliAvatar yako ni bora zaidi hapa JF best angu 😋😋😋
😂😂😂 vidodo vyake vimekaa utamu kwa kuvifikicha fikicha pale kichwani.😀😀 mtindi kama wotee kibuyu kinamwagika asali
EnheeUnacho??
Hatujali wala nnUniform [emoji28]
Vizuri hivyo mwayaaa, mie ninavyo viwili, kingne chui mpauko.juma3 namie ntakivaa
hahaa mimi sikuwa kukiwazia lakini ni kama sare ya mji nifanye nijipatie changu na mmKuna mtu aliniomba nimnunulie mengi ya biashara nikamtumia huko dodoma ila sikuvutiwa nayo ila hii thread imenifanya nifikiri mara mbili
Hahahaa yan hata mimi tena naona bora hii chui chui halisi kuna blue, njano pink na rangi zingin aliziitaji lkn hata wakti wa kuzinunua hazikunivitia kabisahahaa mimi sikuwa kukiwazia lakini ni kama sare ya mji nifanye nijipatie changu na mm
kuna hio njano pia nimeielewa japo sjaona watu wengi kuvaa zaidi ya chui hii ntakitata kwa kweliHahahaa yan hata mimi tena naona bora hii chui chui halisi kuna blue, njano pink na rangi zingin aliziitaji lkn hata wakti wa kuzinunua hazikunivitia kabisa
Ninaamini kiwa nguo haibadili tabia ya mtuhahaa mimi sikuwa kukiwazia lakini ni kama sare ya mji nifanye nijipatie changu na mm
Kuna miaka fulani tajiri fulani na mgonjwa wa ... alikuwa akishawalamba na kuhakikisha amewapa anawapa na zawadi ya kitambaa cha chui chui.Watoto mkalaleUkienda mjini unakuwa upo kama mbuga za wanyana kuna fisi duma na chui kina dada hii imeshakuwa sare ya jiji sijui mana hukuji mademu micharuko saa mbovu lazima utakuta wana hii sare
Kama demu wako hana dela la chui chui muoe haraka sana ni Wife material huyo hakuna mcharuko usio na hii sare hapa mjini [emoji1787] View attachment 2241411
Sawa sawa