Madada wa dar na madera/vijora vya chui chui

Madada wa dar na madera/vijora vya chui chui

Kuna mtu aliniomba nimnunulie mengi ya biashara nikamtumia huko dodoma ila sikuvutiwa nayo ila hii thread imenifanya nifikiri mara mbili
Dodoma kuna wavaa vijora kweli? Hebu muulize vzur
 
DUWANZI KATIKA UBORA WAKO.
Wewe paka hiyo picha ya kitu yangu namfukuzia sana Hellen Touches pale kijitonyama unamdhalilisha kiboya? bwege...
Mbona haina sura au kwa vile unamjua basi unatutambia ati na wewe unamjua kujikweza bana huyo humpati sasa kwa taarifa yako.
 
Kuna mtu aliniomba nimnunulie mengi ya biashara nikamtumia huko dodoma ila sikuvutiwa nayo ila hii thread imenifanya nifikiri mara mbili
Nunua kitakufaa hata kama huna kalio
 
Hapa nimepanda daladala kuna wawili wamevaa alafu hata hawaongozani.
 
Mi nazimika kinoma na madem wanaovaa hizo mambo
 
Kuna mtu aliniomba nimnunulie mengi ya biashara nikamtumia huko dodoma ila sikuvutiwa nayo ila hii thread imenifanya nifikiri mara mbili
me pia nilikua nikienda kariakoo nayaangalia tu 😀😀😀ila itabidi niwe nalo
 
Back
Top Bottom