Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,214
- 4,412
Ukienda mjini unakuwa upo kama mbuga za wanyana kuna fisi duma na chui kina dada hii imeshakuwa sare ya jiji sijui mana hukuji mademu micharuko saa mbovu lazima utakuta wana hii sare
Kama demu wako hana dela la chui chui muoe haraka sana ni Wife material huyo hakuna mcharuko usio na hii sare hapa mjini [emoji1787]
Kama demu wako hana dela la chui chui muoe haraka sana ni Wife material huyo hakuna mcharuko usio na hii sare hapa mjini [emoji1787]