Achana kabisa na kitu kinaitwa NYEGEre
Tumpe namba taifa starz, awe golikipa wetu
Msikate miti hovyo.

Na angepewa dwmu tu, sidhani kama angefaulu masomo yake au angefikia umri huo aliofika, angekufa mapema tuUnyanyasaji wa wanyama: “Panya Magawa hajawahi kukutana na panya wa kike, maisha ya mafunzo yali-focus kwenye kwenda kuokoa maisha ya watu kwa hiyo hakupata muda wa kukutanishwa na panya wa kike” - Dr. Pendo Msegu, mwalimu wa Panya MagawaView attachment 2081138


Wakina harmonize hao

Watanzania tungefanya hivi hawa wanasiasa mbona wasingetuletea upumbavu wao.
