Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
19,488
Reaction score
26,108
Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.

Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni.

Ingawa nilikuwa bado sijaisoma ile mada ilizungumzia sababu zipi hasa zilizo wavuta watu; nimjuwavyo mkuu 'Stuxnet' nachelea kusema atakuwa anajigamba sana juu ya kupendwa kwa mgombea wa CCm; pamoja na sera anzo waeleza waTanzania.
Hii ni haki yake kusema; lakini nijuavyo hali ya kisiasa iliyopo nchini wakati huu; ni busara kufanya uchambuzi wa kina kuhusu hali ya mikutano hiyo inavyo onekana kwa picha.

Bila kutaka kuandika kwa kirefu zaidi, maoni yangu ni kwamba hizi nyomi za mikutano ya Samia zingekuwa na maana kama pangekuwepo na mlinganishio na mikutano ya vyama vingine; hususani CHADEMA.
Je wakati huu mikutano ya CHADEMA ingekuwa na hali gani ikilinganishwa na hii ya Samia Sluhu Hassan? Huu ungekuwa ni mlinganisho mzuri wa kutolea uchambuzi makini kuhusu kupendwa kwa Samia Suluhu Hassan na sera zazake; kuliko wapinzani wake wakuu.

Pili, je tunajuwa ni mbinu gani zinazotumika kuwapata waTanzania hawa kwenye mikutano hiyo? Hawa waTanzania wamekuja kwa hiari zao, au kuna njia za chini chini za kuwalazimisha kwenda kwenye mikutano hiyo; ni nini nafasi za viongozi wa mitaa na wengineo katika kuhimiza hata wanachama wasikose kuhudhuria kwenye mikutano hiyo!
Inajulikana hizo ni mbinu zilizo andaliwa hata siku ya uchaguzi kuhakikisha waTanzania wanasukumwa kwenda kupiga kura

Kwa hiyo, ile mada ya mkuu 'Stuxnet' ilitakiwa ijadiliwe kisayansi; tupate na ushahidi halisi ni kipi hasa kinacho tokea huko mitaani kuhusu maandalizi ya mikutano hii na kuhakikisha nyomi kubwa inakuwepo.

Sikuhariri. Naomba radhi kama kuna makosa ya kiuandishi.
 
Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka raha. Tatizo siyo NYOMI bali pale walipoibuka MALOZI watekaji,waliyonujua wapinzani kuenda CCM na waliyoshuhudia jaribio la mauaji ya Lisu kipindi kile leo kuwa MALAIKA, Tatizo siyo NYOMI la mikutano bali ni yule Mtumishi anaye safiri na UPEPO na aliyekuwepo kipindi kile cha utekaji wa SAA NANE na akanyamaza leo anakemea hadharani ili kumkwamisha Samia. Sasa tusubiri hiyo siku yenu ya kuandamana inayosheheneshwa na wale Wakimbizi waliopo Marekani. Mie nitamka naenda KUTICK narudi kwa TV kuangalia kinachojiri duniani.
 
Kuna halmashauri zinalazimisha watumishi wote wa umma kuhudhuria hiyo mikutano, wanafunzi na walimu wanalazimishwa kuhudhuria!

Malori yanatumika kuwabeba watu bure kuwapeleka kwenye hiyo mikutano! Chama halisi cha upinzqni kimefanuiwa zengwe la kitoshiriki na mgombea wake amebambikiwa kesi feki ya uhaini!

Mwisho wa siku kuna watu wanajisifia kabisa huku wakiwa hawana hata chembe ya aibu kwa huu uchaguzi wa hovyo kuwahi kutokea tangu 1995!
 
Kampeni za ccm, mama anajua vema kwamba, ndani yake kuna wale masikini wanaopelekwa kwa malori kutoka vijijini na mijini huku wakiambulia vitenge na kofia, hata Stuxnet analifahamu fika

Kuna wale wafanyakazi wanaotishiwa ajira zao wasipohudhuria

Na bila ya hivo, kungedorola kushinda chaguzi zote tangu uhuru
 
Jana Samia imebidi akiri ukweli ambao umekuwa mchungu kwa wanaccm wengi kuukiri, kasema ni kweli wanabeba wanachama wao kwenda kuwasikiliza, ila kasema hawachukui toka wilaya nyingine, bali hiyo hiyo yenye kampeni husika.

Ukweli ni kuwa wanachukua hadi wa mikoa mingine kwenda kujaza uwanja, ili ionekane wanakubalika. Cdm wamefanya vizuri sana kugoma kushiriki huo upuuzi.
 
Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka raha. Tatizo siyo NYOMI bali pale walipoibuka MALOZI watekaji,waliyonujua wapinzani kuenda CCM na waliyoshuhudia jaribio la mauaji ya Lisu kipindi kile leo kuwa MALAIKA, Tatizo siyo NYOMI la mikutano bali ni yule Mtumishi anaye safiri na UPEPO na aliyekuwepo kipindi kile cha utekaji wa SAA NANE na akanyamaza leo anakemea hadharani ili kumkwamisha Samia. Sasa tusubiri hiyo siku yenu ya kuandamana inayosheheneshwa na wale Wakimbizi waliopo Marekani. Mie nitamka naenda KUTICK narudi kwa TV kuangalia kinachojiri duniani.
Yaani Samia sasa anakosa hata watu wenye uwezo wa kujenga hoja akaeleweka, hadi kufikia mtu duni kama ulivyo wewe?

Tueleze hilo unaloliita ""nyomi la Samia" linatoka wapi?
Uliielewa mada, au unajiandikia tu mradi uonekane na wanaokulipa kuwa umefanya kazi?

Ukweli ni kwamba Samia hana uwezo wa kukusanya watu wengi kiasi hicho kwenye hiyo mikutano yake bila ya watu kukusanywa kwa njia mbalimbali, zikiwemo za kuwalazimisha wawepo kwenye mikutano hiyo.

Zungumzia hilo, watu hao wanatokana na nini?
 
Jana Samia imebidi akiri ukweli ambao umekuwa mchungu kwa wanaccm wengi kuukiri, kasema ni kweli wanabeba wanachama wao kwenda kuwasikiliza, ila kasema hawachukui toka wilaya nyingine, bali hiyo hiyo yenye kampeni husika.

Ukweli ni kuwa wanachukua hadi wa mikoa mingine kwenda kujaza uwanja, ili ionekane wanakubalika. Cdm wamefanya vizuri sana kugoma kushiriki huo upuuzi.
Maana ya yote haya ni moja tu.
Wakisha jaza kura kwenye masanduku ya kura na Samia kutangazwa kuwa mshindi kwa asilimia 99.9; wawaeleze watu kuwa kulikuqepo na mwitikio mkubwa kwa mgombea, wakirejea nyomi hizi feki.

Na hata siku hiyo ya kupiga kura; hawa hawa wanaohimizwa kwa njia mbalimbali, ikiwemo kutishiwa kazi zao, au biashara, ndio watalazimika kwenda vituoni, ili ionekane waTanzania wengi wamejitokeza vituoni kupiga kura.

Panapohitaji kudhibitiwa na "NO REFORM NO ELECTION", ni kuziba huko huko wanakotokea hawa watu wanaolazimishwa. Ni huko mitaani, na wajumbe wa mitaa wa CCM ni kiungo muhimu sana kwenye mpangilio wa kazi hii.
 
Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka raha. Tatizo siyo NYOMI bali pale walipoibuka MALOZI watekaji,waliyonujua wapinzani kuenda CCM na waliyoshuhudia jaribio la mauaji ya Lisu kipindi kile leo kuwa MALAIKA, Tatizo siyo NYOMI la mikutano bali ni yule Mtumishi anaye safiri na UPEPO na aliyekuwepo kipindi kile cha utekaji wa SAA NANE na akanyamaza leo anakemea hadharani ili kumkwamisha Samia. Sasa tusubiri hiyo siku yenu ya kuandamana inayosheheneshwa na wale Wakimbizi waliopo Marekani. Mie nitamka naenda KUTICK narudi kwa TV kuangalia kinachojiri duniani.

..Polisi ndio wameingilia kati na kuwazuia Chadema wasifanye kampeni za No Reforms No Election.

..Uchaguzi huu umepooza na ni wa upande mmoja, Ccm.

..Uchaguzi ungekuwa wa ushindani na wa haki nyomi zingekuwa kubwa kwa vyama vyote.

..Kungekuwa na ushindani hata Ccm wangejiongeza kwa kuwa makini zaidi katika kampeni zao, na bila shaka wangepata nyomi kubwa zaidi bila kutumia pesa na nguvu.
 
Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.

Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni.

Ingawa nilikuwa bado sijaisoma ile mada ilizungumzia sababu zipi hasa zilizo wavuta watu; nimjuwavyo mkuu 'Stuxnet' nachelea kusema atakuwa anajigamba sana juu ya kupendwa kwa mgombea wa CCm; pamoja na sera anzo waeleza waTanzania.
Hii ni haki yake kusema; lakini nijuavyo hali ya kisiasa iliyopo nchini wakati huu; ni busara kufanya uchambuzi wa kina kuhusu hali ya mikutano hiyo inavyo onekana kwa picha.

Bila kutaka kuandika kwa kirefu zaidi, maoni yangu ni kwamba hizi nyomi za mikutano ya Samia zingekuwa na maana kama pangekuwepo na mlinganishio na mikutano ya vyama vingine; hususani CHADEMA.
Je wakati huu mikutano ya CHADEMA ingekuwa na hali gani ikilinganishwa na hii ya Samia Sluhu Hassan? Huu ungekuwa ni mlinganisho mzuri wa kutolea uchambuzi makini kuhusu kupendwa kwa Samia Suluhu Hassan na sera zazake; kuliko wapinzani wake wakuu.

Pili, je tunajuwa ni mbinu gani zinazotumika kuwapata waTanzania hawa kwenye mikutano hiyo? Hawa waTanzania wamekuja kwa hiari zao, au kuna njia za chini chini za kuwalazimisha kwenda kwenye mikutano hiyo; ni nini nafasi za viongozi wa mitaa na wengineo katika kuhimiza hata wanachama wasikose kuhudhuria kwenye mikutano hiyo!
Inajulikana hizo ni mbinu zilizo andaliwa hata siku ya uchaguzi kuhakikisha waTanzania wanasukumwa kwenda kupiga kura

Kwa hiyo, ile mada ya mkuu 'Stuxnet' ilitakiwa ijadiliwe kisayansi; tupate na ushahidi halisi ni kipi hasa kinacho tokea huko mitaani kuhusu maandalizi ya mikutano hii na kuhakikisha nyomi kubwa inakuwepo.

Sikuhariri. Naomba radhi kama kuna makosa ya kiuandishi.
Sababu zipi?.

Mnawasomba Watanzania kwenda kuangalia Wasanii.

Alafu mnaita Nyomi??.
 
Sisi wa tassaf ni lazima tuende

G0K-wvsXsAAREv7.jpeg
 
Sababu zipi?.

Mnawasomba Watanzania kwenda kuangalia Wasanii.

Alafu mnaita Nyomi??.
Unayo akili timamu, au wewe ni kichaa?
Au niseme ni chizi fulani aliyevurugwa akili kwa uvuta bangi?
Umeelewa kilicho andikwa kabla ya kujibu kilevi namna hii?

Kwa hiyo na wewe kweli unajihesabu katika watu ambao wanapigana juu chini kuondokana na mashetani hawa waliopo madarakani sasa hivi; wakati akili zote zimeghota kiasi hiki?

Ninakusoma mara nyingi humu na michango yako ya hovyo hovyo tu! Wewe ni mtu wa pupa sana; huna msaada wowote wa maana katika kuchangia ukombozi wa taifa hili.

Tulizana, unajirusha rusha sana kama huna kichwa. Unabwatuka tu bila hata kusoma na kuelewa unacho jibu. Hii ni akili ya kipumbavu.
 
..Polisi ndio wameingilia kati na kuwazuia Chadema wasifanye kampeni za No Reforms No Election.

..Uchaguzi huu umepooza na ni wa upande mmoja, Ccm.

..Uchaguzi ungekuwa wa ushindani na wa haki nyomi zingekuwa kubwa kwa vyama vyote.

..Kungekuwa na ushindani hata Ccm wangejiongeza kwa kuwa makini zaidi katika kampeni zao, na bila shaka wangepata nyomi kubwa zaidi bila kutumia pesa na nguvu.
Nilisha kupachika jina la "uungwana", mkuu 'Joka'.

Sasa sijui niongeze tena na sifa ya 'u-diplomasia' juu yake?

Polisi wanasema wanatekeleza sheria; kwa kufuata maagizo ya mahakama, kuzuia CHADEMA wasifanye shughuli za chama kwa kutumia raslimali za chama, hadi kesi itakapooza kamilika.

"Uchaguzi" kwa mjibu wa wanaompigania Samia "haujapoa". Utapooza vipi na nyomi za namna hii inayo onekana; na watakwambia kuna vyama zaidi ya kumi vinapiga kampeni!

"Uchaguzi ungekuwa wa ushindani na wa haki (nyomi zingekuwa kubwa kwa vyama vyote)"? Maoni yangu ni kuwa kwa Samia kuwa na nyomi katika hali hiyo ingebidi hata polisi waingie kazini kuhakikisha watu wanakuwepo kwenye mikutano ya Samia. Huku kusomba watu na malori kusingetosha kuonyesha ukubwa wa nyomi zake.

Natumia usemi wa "nyomi za Samia" badala ya CCM; kwa maksudi kabisa. Hizi ni nyomi za Samia kwa vile anatumia nyenzo zake za serikali yake na siyo za chama, kuhakikisha kuwa nyomi zinakuwepo. Ndiyo maana atakapo apishwa huyu haendelei kuwa mtu wa chama; huyu yupo juu ya chama. Ni mazoea tu na utaratibu ulio zoeleka kutumia jina la chama (CCM); lakini kiuhalisia huyu siyo mtu wa chama tokea muda kitambo.
 
Back
Top Bottom