Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Hilo huwa ni takataka
Hapana sio Takataka Hapo kuna Tatizo la uelewa. Huyu Namwonaga kuwa Anajichukulia Anayajua Mambo ya Nchi Hii, kitu ambacho ni kinyume.
Hilo huwa ni takataka
Huyu Moses Methew Nadhani ana Matatizo la Kutojua Mada Zinahitaji nini; Nimekuwa Nikifuatilia Sana Mijadala Mingi ya Star TV, Wanawaalika Wanafunzi wa SAUT na Kwa kweli Wanafunzi Wale Wanauelewa Mkubwa. Wanafunzi walioalikwa Mfano Jana Jumamosi Walikuwa Wazima na ni Critical thinkers.
Leo Hapo Mwanza Walialkwa Rutta (Huyu ni Mzima na Amekiendea Haki Kipindi); Huyu Moses Methew ( Majanga tupu), anajadli Nje ya Mada na utulivu Zero na Kingereza cha Shule za Kata.
Ni Vema Star TV, wakadhamini muda Wetu Watazamaji na Wapenzi wa Kipindi Hiki Kizuri Wasituleee Watu Kama awa. Kwa ujumla Huyu Jamaa Haeleweki nadhaini hata Mada uwa Haielwi. Huyu ni Mgeni ambaee Star TV Kipindi Tuongee si size yake Kwa Uelewa anaotuonyesha. "Kiswahili cha siku hizi Mtu kama huyo Wanasema Hajitambui"
yahaya hussein ndio alikimudu hiki kipindi,hawa watanagaji wanaokota watu stand na kuwapeleke studio...poor kabisa