Mada: Sekeseke Bungeni - StarTv

Mada: Sekeseke Bungeni - StarTv

Aljazera

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2015
Posts
637
Reaction score
224
Wanabodi kwa ambao mnaangalia StarTv kuna mjadala unaendelea juu ya yaliyojiri Bungeni, kuna huyo mwandishi anaitwa Moses sijui anaandikia chombo gani cha habari mi hua simuelewi kabisa hoja anazotoa kwenye mijadala yote inayofanyika StarTv, kwa mnaomfahamu au ambao mshamuona kwenye mijadala huyu mtu mnamuelewaje?
 
huyu moses methew ni mwandishi wa habari mweupe sana kichwani,asiyejitambua wala kutambua nini anachojadili.
 
mimi huyu kaka mpaka sasa sijamuelewa hibi kweli ndo mgeni wa leo au kuna mwingine atakuja????
 
Huyu sio Critical thinker! Anafikiria upande mmoja tu bila kubalance na upande wa pili hivyo anakosa sifa ya kuwa mchambuzi!
 
Wanabodi kwa ambao mnaangalia StarTv kuna mjadala unaendelea juu ya yaliyojiri Bungeni, kuna huyo mwandishi anaitwa Moses sijui anaandikia chombo gani cha habari mi hua simuelewi kabisa hoja anazotoa kwenye mijadala yote inayofanyika StarTv, kwa mnaomfahamu au ambao mshamuona kwenye mijadala huyu mtu mnamuelewaje?

Moses ni reporter wa habarileo mwanza. So usishangae kama anatapika, huwa hana hoja siku zote. Aliwahi kuwatetea polisi walipomuua mwangosi!
 
Hyo mtangazaji anaongea sana kuliko mgen wake, yaan huyo ni zirooo kabisa, cjui hao watangazaji wanawatoa wapi,

Maana kabla swali halijajibiwa anaingilia kati, hyo hafai kabisa
 
Star TV nao ni wa kulaumu kupotezea watu muda kwa kuleta watu hovyo kama moses methew,ni bora kuleta mwananchi mzalendo
Kweli kabsa jamaa wananishangaza kuleta watu Wa hovyohovyo,Mara wanafunzi Wa sauti, wenyeviti Wa Mtaa
 
Kweli kabsa jamaa wananishangaza kuleta watu Wa hovyohovyo,Mara wanafunzi Wa sauti, wenyeviti Wa Mtaa

Shida ni StarTv au Mwanza ndio hakuna wachambuzi makini? Mbona Studio ya Dar hua wanakua na wachambuzi ambao ukiwasikiliza unaona kabisa mtu anaongea hoja zinazoeleweka?
 
Wangetangaza maslahi kuwa inamilikiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza.
 
jamaa mweupe sana aisee. Bado ana uhandishi wa kizamani sana. Na style yake hawezi kufika mbali karne hii. Simpendi kabisa
 
Huyu Moses Methew Nadhani ana Matatizo la Kutojua Mada Zinahitaji nini; Nimekuwa Nikifuatilia Sana Mijadala Mingi ya Star TV, Wanawaalika Wanafunzi wa SAUT na Kwa kweli Wanafunzi Wale Wanauelewa Mkubwa. Wanafunzi walioalikwa Mfano Jana Jumamosi Walikuwa Wazima na ni Critical thinkers.

Leo Hapo Mwanza Walialkwa Rutta (Huyu ni Mzima na Amekiendea Haki Kipindi); Huyu Moses Methew ( Majanga tupu), anajadli Nje ya Mada na utulivu Zero na Kingereza cha Shule za Kata.

Ni Vema Star TV, wakadhamini muda Wetu Watazamaji na Wapenzi wa Kipindi Hiki Kizuri Wasituleee Watu Kama awa. Kwa ujumla Huyu Jamaa Haeleweki nadhaini hata Mada uwa Haielwi. Huyu ni Mgeni ambaee Star TV Kipindi Tuongee si size yake Kwa Uelewa anaotuonyesha. "Kiswahili cha siku hizi Mtu kama huyo Wanasema Hajitambui"
 
Back
Top Bottom