Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,804
- 36,466
Mpaka waseme.Huu mwaka upo speedy sana
Sijachangia mada kwa sababu mi sioi na Sina mpango huo! Sina bajeti ya mahariMpaka waseme.
Lengo ni kubadili tabia ovu za slay Queens. Wadange lakini wajue kabisa mahari haiwahusu
Zawadi ya kupigwa magegedo kama yooteHabari!
Tulipopinga suala la mahari kwa kusema kuwa mahari ni biashara ya kitumwa watetezi mukasema mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza Binti yao. Kumtunza sawa lakini ametunzwa vipi huku hana bikra?
Wengine wamezaa kabisa.
Ile bikra ndio itolewe mahari, bikra ndio thamani ya binti. Je, huyu binti ambaye bikra yake imekwenda na maji atolewe mahari kama zawadi ya kitu gani?
Kama ni zawadi ya kumzaa ikumbukwe hata muoaji amezaliwa atolewe mahari pia.
Ahahaha ๐๐๐Zawadi ya kupigwa magegedo kama yoote
Kazi ya mzazi ni kumtunza mtoto kazi ya kulinda bikra isiondolewe kabda ya kuolewa ni ya mtoto mwenyewe. Mpe mzazi anachostahili.mahari ni heshima, ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza Binti yao. Kumtunza sawa lakini ametunzwa vipi huku hana bikra?
Ahahahah ๐ ๐๐๐Kapigwa mgegedo eti ukamlipie 1ml plus ndoa ya ml 30 bajeti aki siwezi fanya huu upuuzi ktk maisha yangu
Bikra inalindwa na wazazi.Kazi ya mzazi ni kumtunza mtoto kazi ya kulinda bikra isiondolewe kabda ya kuolewa ni ya mtoto mwenyewe. Mpe mzazi anachostahili.
Btw wanaume hamna ushirikiano kabisa, mkimaliza kulalamika hapa mnaenda kulipa mahari. Mngekuwa na ushirikiano haya malalamiko yasingekuwepo.
Sasa mahari ya nini?Sasa bikra na mahari wapi na wapi??
Wanamkula vizuri tu ata ukienda job asubuh unarudi jioni anaenda kugawaAhahahah ๐ ๐๐๐
Hapo ukienda nje kusoma au ukienda zile course za polisi TISS, tpdf za muda mrefu wale waliokuwa wakimchezea kabla hujamuoa watamnyemelea wamtoe nyege.
Binadamu halindwiBikra inalindwa na wazazi.
Kama wazazi hawamlindi binti yao akimaliza form four anakuwa kagongwa mara 20, akimaliza form six mara 100, chuo atafunga ndoa za muda mfupi na wanaume 2-3 .
๐ ๐ ๐ ๐ Hao miaka ya zamani walikuwa wanakamatwa ,shenzi sana.Kuna mdau juzi alikua anajisifia katoa bikra ya binti wa miaka 17 na kuwapa mbinu wengine kudaka hizo bikra. Sasa mkuu kama watu wenyewe mna tabia hizo mbovu bikra mtazikutia wapi. Toeni tu hizo mahari kama shukran ya kupata mke
Kazi ya mzazi ni kumtunza mtoto kazi ya kulinda bikra isiondolewe kabda ya kuolewa ni ya mtoto mwenyewe. Mpe mzazi anachostahili.
Btw wanaume hamna ushirikiano kabisa, mkimaliza kulalamika hapa mnaenda kulipa mahari. Mngekuwa na ushirikiano haya malalamiko yasingekuwepo.