mate yamejaa ghafla mdomoniMzigo ulioshiba huoView attachment 1612248
Location?Tukae humuView attachment 1613132
Msinywe maji tu bali na mvinyo kwa maana matumbo yenu mnaugua mara kwa mara.View attachment 1613604
Ingizo jipya sokoni hili ama ?Boda to boda BUKUView attachment 1613639
Nimevikuta tunduma happy..SASA SIJUI NI VIPYAA AU LAAA
kachanganya na yokozunaWakuu leo naona mitandao inasumbua kweli kweli,,sijui Fundi Wa Zamu alilalia Ibungu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu kijiwe changu ninapokuwa hapa Mwanza ni DIAMOND AUTOLINK...Location?
Dah nilipitia hicho kipindiKuna jamaaa zangu walishageuza pombe maji ya kunywa.asubuhi tu saa kumi na moja washatia mguu kwa mama muuza ubandani wanamgongea mlango hata kama kalala ili watoe lock.wanakuambia bila kutoa pass word kazi haifanyiki
Mim mwenyewe pia nikiwa Rocky City huwa nakunywa na kula samaki sato hapo.Mkuu kijiwe changu ninapokuwa hapa Mwanza ni DIAMOND AUTOLINK...
MusuliNachamba koo na moja hapa kisha nikapige kuraView attachment 1614398
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app