Hahahahahaha.TAHADHARI
Jikagueni Walevi kabla hamajarudi homeView attachment 863118
Pole endelea kupata kinywaji kisichokusumbuaWakuu nikinywa spirit huwa naamka hovyo sana inanisumbua
Vipi wadau wenzangu?
Pole endelea kupata kinywaji kisichokusumbua
Nimempitia katibu tukatoe mchango akabadilisha kijiwe next time nachukua in advanceMi ndio naanza baada ya kutoka kumchangia Mchungaji zake.View attachment 961342
Huyo aache tu maana ipo siku watamfanyia mabaya bureHahaaaa sawa
Ila Pombe bwana tamu sanaa
Na tatizo nina jamaa yangu akinywa yeye ni fujo tuu na ubabe sijui nimfanye nn????
Kiukweli tangu nipate bia ya buku hizo zingine nimesahau hadi bei
Safi mdau
Kiukweli tangu nipate bia ya buku hizo zingine nimesahau hadi bei
Niko kwenye mbege leoPole endelea kupata kinywaji kisichokusumbua
Chimbo liko wapi aise nijeNiko kwenye mbege leo
Nimechkua Lita 5 niko mtaani kwa mrombo njooChimbo liko wapi aise nije
Aise nimeenda chimbo langu wanaletaga ya wateja pendwa leo hawajaleta nimeishia kukamata liteNimechkua Lita 5 niko mtaani kwa mrombo njoo
Aise piga na mbuzi hapo then unacheua na vodkaNimechkua Lita 5 niko mtaani kwa mrombo njoo
Leo kuna masherehe mengi sana so naona limeisha mapema me mwenyew nimeweka oda tokea asubuhiAise nimeenda chimbo langu wanaletaga ya wateja pendwa leo hawajaleta nimeishia kukamata lite
Mbuzi samingi nshatupia hapa nahemea juu juuAise piga na mbuzi hapo then unacheua na vodka
Kwa yule mama alikuwa kwa mawallaLeo kuna masherehe mengi sana so naona limeisha mapema me mwenyew nimeweka oda tokea asubuhi
Mbuzi samingi nshatupia hapa nahemea juu juu