Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Muda Ni sasa
IMG-20220204-WA0107.jpg
 
Mimi si Mchaga ila napenda sana mbege.Ila mnachofanya nije niache mbege huko mbeleni ni yale makopo tunayotumia kunywea mbege,ukienda maliwatoni unalikuta kopo km hilo huko,sasa sisi wateja tutajua vipi km ikitokea mjinga mmoja akachanganya kopo la chooni akalileta kaunta?Ebu tafuteni namna ya kuheshimu kifaa hichi kwan kwa mimi mgeni napata walakini
 
Huo uhuni unaweza kufanywa huku mijini kwa watu wasiojitambua na sio Uchagani
 
Ni sawa Mshana kwa Moshi na viunga vyake ambavyo nimewahi kwenda sijawahi kuona hilo but mistake hii nimeikuta Arusha mjini,hasa maeneo ya mitaa ya Disemba kuna vibaa vingi vinauza mbege,ebu nenda maliwatoni!!!!Glass yetu pendwa utaikuta huko kwa ajili ya kuchambia,ndo nikasema akitokea mhudumu mmoja mjinga akachanganya bi matumizi bila kujua itakuaje?
 
Back
Top Bottom