Hapo cbanduki 24/7 labda wanifukuzeTwendeni ItaliView attachment 2097388
Mkuu hii ipoje nzuri?
Bado kuna wataalam wanavichonga, maeneo ya NARUMU, unapata.
Wabongo tutaenda na madumu kabisa apo ni full shangwe kwa wengine birthday party zitamalizikia apoapoTwendeni ItaliView attachment 2097388
Imekaa poa Sana hii
NaaamMdogo mdogoView attachment 2104417
Nisipopata haka kajitu Koo linawasha nahangaika kweli kweli
Mkuu hivi ilipata ubarid hilo bapa maana ina ubishi sana hiyoMuda Ni huuView attachment 2106332
Haikupata mkuuMkuu hivi ilipata ubarid hilo bapa maana ina ubishi sana hiyo
Hahaha pole sanaNisipopata haka kajitu Koo linawasha nahangaika kweli kweli