Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG_20210822_184052_634.jpg
 
Jamani hawa jamaa wanaotengeneza pombe feki inabidi tuungane kupambana nao, juzi hapa nimekunywa konyagi yaani hapa koo langu limepata vidonda na linawaka moto, nimedhamilia kuacha kabisa kunywa pombe kali kwani kuna jamaa anasema karibu kila mkoa kuna kiwanda cha kutengeneza hizi pombe kali feki
 
true bro...!! hasa k vnt na nyagi..yaan inaogopesha
 
Jamani hawa jamaa wanaotengeneza pombe feki inabidi tuungane kupambana nao, juzi hapa nimekunywa konyagi yaani hapa koo langu limepata vidonda na linawaka moto, nimedhamilia kuacha kabisa kunywa pombe kali kwani kuna jamaa anasema karibu kila mkoa kuna kiwanda cha kutengeneza hizi pombe kali feki
Kweli kabisa, mimi ilinitokea miezi miwili iliyopita, nilipata kiu ya kunywa maji isiyoisha baada ya kunywa konyagi.
 
Back
Top Bottom