watambi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 327
- 254
Maumivu yakizidi muone daktari. Cocktail imeanzaMaumivu ya kichwa uanza taratiiiiiiiiibu. Nalipa Kodi ndani ya jiji la mwanza
Maumivu yakizidi muone daktari. Cocktail imeanzaMaumivu ya kichwa uanza taratiiiiiiiiibu. Nalipa Kodi ndani ya jiji la mwanza
Mkuu huyo mwenye viatu miguu ameweka kwa wapi? Au ameipandishia kwe mapaja yako?Nipo Pson Mbeya View attachment 1194419
Teh teh mwache kwanza huyu awake mkuuMkuu huyo mwenye viatu miguu ameweka kwa wapi? Au ameipandishia kwe mapaja yako?
Leo nachangia Kodi huku Nairobi ila bia zao ghalii khaaaaa,yani moja zaidi ya elfu 4 ya kwetu,nakunywa Kwa mawazo sidhani kama nitalewaView attachment 1194353
Mkuu huyo mwenye viatu miguu ameweka kwa wapi? Au ameipandishia kwe mapaja yako?
Bar za kishua unakunywa... Ingia kitaaLeo nachangia Kodi huku Nairobi ila bia zao ghalii khaaaaa,yani moja zaidi ya elfu 4 ya kwetu,nakunywa Kwa mawazo sidhani kama nitalewaView attachment 1194353
Ha ha ha Ksh vs Tsh.Leo nachangia Kodi huku Nairobi ila bia zao ghalii khaaaaa,yani moja zaidi ya elfu 4 ya kwetu,nakunywa Kwa mawazo sidhani kama nitalewaView attachment 1194353
Hamna viroba?Leo nachangia Kodi huku Nairobi ila bia zao ghalii khaaaaa,yani moja zaidi ya elfu 4 ya kwetu,nakunywa Kwa mawazo sidhani kama nitalewaView attachment 1194353
Mbn mapema ?Muda wa kwenda kulala sasa baada ya kuchangia pato la taifaView attachment 1194602
Mbn mapema ?
J5 ulikua wapi?Mechoka tu.
Toka Jumatano nalewa
J5 ulikua wapi?
Hahaha..pole sana mkuuDaaah kweli pombe sio chai ndo nazinduka ntaenda ambia nn mama watoto na sjalala nyumbani!!!!
Bar za kishua unakunywa... Ingia kitaa
ulimuomba number ya simu?Nimeamka nazo, Huko home ni ugomvi tu na wifeView attachment 1194695