Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Juzi nimeenda bar nikaagiza vitu vyangu kama kawaida yangu huwa sipendi shobo na madem sasa pembeni yangu kuna mdada nae akula bia mara akaanza kaka mambo me kimya nikajua huyu anataka bia tu nikamwagizia tano kwanza hajakaa sawa tano zingine akaaza kuniita baby nikamwambia kunywa bia sepa mara bila zikamzidi akazidiwa kinyama na bia sasa wale wahudumu wakajua ni demu wangu wakawa wananiambia mpeleke home huyu amezidiwa na pombe nikawaambia simjui huyu ila baadae nikamuonea huruma nikamchukua nikampeleka kwenye gari nikamfungia humu humu me nikarudi na kuendelea kupiga vitu sasa baadae narudi kwenye gari nikakuta demu ametapika kinyama nikamwambia nielekeze nikupeleke kwako haongei basi kilichoendelea hapo........
Mkuu una roho nzuri, mimi ningemwacha hapohapo na matapishi yake ndiyo ajue pombe siyo chai.
 
kwa mangi
IMG_20190829_201911_1.jpeg
 
Back
Top Bottom