The bright one
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 272
- 563
Dada eeh naeza pata wapi hiyo beer ya amstel
Dar zipo mkuu
Dada eeh naeza pata wapi hiyo beer ya amstel
Back to TZ hamnaga kama home nmefikia kili nliimis balaaaaaaView attachment 1118527
Wastahiri tuzo liquid jajaaliwa tu,yaani tasti zoteee umenishangaza mkuuumimi nikiwa na pochi nene naanzaga na JD,pochi likianza kusinyaa nashuka kwa yohana mtembezi(lebo nyekundu,nyeusi nitaiwezea wapi),mambo yanapoendelea kukaza nashuka kwa vladimir vodka...hali ikiwa tata katika levo ya mwisho nadondoka na ngumu kumesa(bapa)
sinywagi bia,..you know why?naweza kunywa hata 20.,sababu nyingine bia inajaza mipovu tumboni
shout it out to whoever muasisi wa utengenezaji pombe(iwe ya kienyeji au ya kigeni)
cheers
Tuliopo mipakani nomaa kuipataDar zipo mkuu
Pole yao niko bia ya 22 lakini naona leo hazinibambi. Kuna kiroho kinaniambia weka na ka K-Vant kidogoNyie kuna watu lite 3 chali
Kesho na mpango wa kuokokaNilikuwa na wageni kesho nitakukaribisha mkuu maeneo hayo hayo
Unagonga mvinyo gani Mkuu?Leo mbona silewi?
Hao safi sana Mkuu, hawana mambo meeeeengi kama wa geti kali. Unatafuna hadi mfupa. Bone marrow yao inanoga zaidi!Baada Ya Wadau Wengi Kusifia Kuku Wa Kuenyeji Humu ( Wanawake wa Uswahilini) Leo Nataka na Mimi Kujaribu View attachment 1119599
Buku mbili tu .Mliopo nyumbani hivi bei ya guiness shing ngapi
Za jana zilikuwa kali kweli kweli..kidogo niingie kulala chumba cha binti wa kazi.View attachment 1124311
Ni jambo Jema tena zibakie k vant tu na konyagiSijui nawaza nini,
Bia hasa kesto laiti zitolewe kwenye kundi la vilevi
Ningependekeza tuu ikaitwa
JUISI KALI
Ni jambo Jema tena zibakie k vant tu na konyagi
Vladmil vodkaMake ni ujinga, eti mtu mmoja anamaliza kreti na bado anahudhuria mkutano si ni upumbavu huu
K vant na nyagi zibaki kama mwasisi wa pombe
Tujitungue na vladimil na mengine ya aina ya spirit
Hahahaha, wasalimie hao wadauIbungu Mabibo Sahara relini nalipa kodi mdogo mdogo View attachment 1124758
Dah... Nilikuwa W nimeondoka muda si mrefuIbungu Mabibo Sahara relini nalipa kodi mdogo mdogo View attachment 1124758
Nilikuwa King'ole nikaona hakuna amsha amsha ndio Nikaja hapaDah... Nilikuwa W nimeondoka muda si mrefu