moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,366
- 4,970
Moshi?Unakunywa beer huku unavuna ndiziView attachment 1119606
Moshi?Unakunywa beer huku unavuna ndiziView attachment 1119606
Aise ulikuwa unataka kujilipuaNilipiga jana K-Vant ndogo 4 na bia 8. Yawning acha tu. Ndio nimeamka mda so mrefu kutoa loki
Dada eeh naeza pata wapi hiyo beer ya amstel
Mliopo nyumbani hivi bei ya guiness shing ngapiHapo la chars panatisha nilikula Hadi nauli ya kurudi mkoani.Kitu ya leo hio kwa wamakonde
Yaani we acha tu. Nifanye nirudi kwetu. ArushaAise ulikuwa unataka kujilipua
Yaani we acha tu. Nifanye nirudi kwetu. ArushaView attachment 1123932
Unakunywa beer huku unavuna ndiziView attachment 1119606
Sakina Lounge. Nadhani Nimemaliza Bat za huu mjiWapi hapo
Bia aina zote ni soft drinksSijui nawaza nini,
Bia hasa kesto laiti zitolewe kwenye kundi la vilevi
Ningependekeza tuu ikaitwa
JUISI KALI
Bia aina zote ni soft drinks
Naona umeamua kujifungia. Hukaribishi mgeniWapi hapo
pazuri sana kupumzikaAseeee
Mimi hapo nazipulizaaaaaaweeeeeeeee halafu chumba hapo chini ya mgomba
Hilo eneo ukilewa hafu ukazidiwa ukapifwa picha umelala kwenye hutwo tu nyasi, aseeee ni bongeee la poziiiiiii
Hahaaa safiSakina Lounge. Nadhani Nimemaliza Bat za huu mji
Bia aina zote ni soft drinks
Nyie kuna watu lite 3 chaliNdio zitoleww kwenye kikundi cha vilevi
Kiitwe tuu
Juisi kali
Nilikuwa na wageni kesho nitakukaribisha mkuu maeneo hayo hayoNaona umeamua kujifungia. Hukaribishi mgeni