4G LTE
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,777
- 10,533
Duh....mm netwrk ina search jna tungi mpk leo saa moja asubuhiNaangaliana na kifaru oil. Karibu tuburudike.
Duh....mm netwrk ina search jna tungi mpk leo saa moja asubuhi
Ngoja nikate kama Lita 2 za maji hku nasubiria muelekeo niufate
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbia kabla bestHahahaha, nyumbani kumenoga sio ?
Huku salama kabisa Best, bado hawajafikia kiwango cha kuvurugana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakucheki ngoja nimalize vikao vya leoNaangaliana na kifaru oil. Karibu tuburudike.
Hahahaha katibu utashindwa kuandika minute za kikaoDuh....mm netwrk ina search jna tungi mpk leo saa moja asubuhi
Ngoja nikate kama Lita 2 za maji hku nasubiria muelekeo niufate
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa.
Tushazoea.....hpa napiga jarambaMi nimeona manyara Leo jumapili no michosho nimeamua kuja chuga Nile burudani nirudi jioni. Pole kwa mchoko.
hii inaitwa featuringBrother una hatarrr! Unatoa lock na maji ngumu! Mi hapo nalewa upyaaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi bado napambana na kili
Mkuu nina ujuzi katika supply chain management and administration, 3 years of working.Una ujuzi gani?.