Mada maalum: Tupeane uzoefu juu ya wasaidizi wa ndani/ Mahausi girls.

Kuna mmoja alikuwaga kwa bro kipindi natoka chuo ndio ilikuwa chakula changu, kibonge,kifupi kizuriii, yaani nilitamani nimpe mtoto
 
Inabidi tuwachukulie tu vile walivyo kwasababu wangekuwa na ufahamu na mawazo kama ya kwako usingempata na ndo maana wewe sio house girl au house boy kama wao. Jambo la msingi ni kuwatendea haki zote anazostahili mtu wako wa nyumbani. Tusiishi nao kama wafanyakazi bali tuishi nao kama sehemu ya familia zetu na tusiwadhulumu mishahara yao. Ukiwatreat vizuri wanafananiaga familia husika
 
Kwanza muone binti huyo sehemu ya familia yako, usimubague, huyo ni dada kama dadako, mlipe angalau kima cha chini, kula naye asione kubaguliwa utafanikiwa kuishi nae/nao vizuri. Ila kama unamchukulia siyo sehemu ya watoto wako au dadako utapata shidaaaa
 
Hiyo pesa unayomlipa ni ndogo sana na mara nyingine inaenda kwa watu wazazi wake na si mfanya kazi mwenyewe,kama umejaliwa akili timamu kama zangu jitahidi kufanya yafuatayo
1:Jitahidi kumsaidia kazi na si kumuachia majukumu yote hata kama wanafamilia wengine wapo
2:Mnunulie nguo na mpatie mahitaji madogo madogo japo mara moja moja
3:Mjengee mazingira ya kuishi kama mwanafamilia kv:kushare baadh ya vitu na wanafamilia wengine
4.Usipendelee kumfokea kwa vitu vidogo kwani baadh ya vitu ni rahisi kumrekebisha kwa lugha laini bila kumfokea na anaweza kukuelewa
 
MUHIMU:
WENGINE NI MUNGU ANAWALETA KWAKO KAMA JARIBU LA ULICHOMWOMBA. WENGINE NI SEHEMU YS VITA ULIO NAYO NA ADUI AMESOGEZA SILAHA ZAKE KARIBU. USITENDE KWA KIBURI. MTANGULIZE MUNGU NA UTAPITA SALAMA.

KUMBUKA:
Wengi mpaka wanaingia kwenye hiyo kazi ni maisha magumu sana kwao. Ni vizuri mkaongea kwanza kiurafiki ukajua malengo yake maishani na lile unaloliweza basi muahidi na muda kabisa wa kutimiza.
ANGALIZO:
Wengi mateso wanayopitia ni nguvu za giza. Hiyo ni mbinu mpya ya wachawi kuingia nyumba za watu haswa wenye watoto wadogo na au chakula kingi. Utalisha wachawi ukome. Ukinunua kinaisha. Unanunua maziwa mtoto anakonda.
DAWA:
Msichana/kijana wa kazi mpitishe kwenye maombi ya haja ili kupukutisha nguvu za giza/uchawi wote.
Nimekaa nao zaidi ya 20 tofauti ila ni maombi tu yanasaidia. Wengine moto wa maombi ukiwa mkali wanaacha kazi. Mpaka sasa aliyepo anataka kuacha ila wa kwao wanakuja usiku kumtisha. Niko kwenye mapambano ya kumnasua. Ni vita imetoka kwa wazazi wake. Mungu atatushindia.
 
jukumu la mzazi Wa kike ni kuzaa na kulea, imeandikwa mtazaa kwa uchungu na wanaume watakula kwa jasho, sasa nyie wanawake mekengehuka mnazaa na kugawa majukumu kwa house girl,
ngoja nikwambie mfano; laiti kama kuku angetotoa vifaranga na kuvitelekeza tusingefurahia kizazi cha kuku huenda ote wangetafunwa na vicheche
 
Wenzako tunalipa laki moja per months wee unampa vijisent, hata ingekuwa wewe usingeondoka?
 
jukumu la mzazi Wa kike ni kuzaa na kulea, imeandikwa mtazaa kwa uchungu na wanaume watakula kwa jasho, sasa nyie wanawake mekengehuka mnazaa na kugawa majukumu kwa house girl,
ngoja nikwambie mfano; laiti kama kuku angetotoa vifaranga na kuvitelekeza tusingefurahia kizazi cha kuku huenda ote wangetafunwa na vicheche
Kwa maisha ya sasa hivi kuwa Mama wa nyumbani tu huna kipato chochote kile na umtegemee mwanaume kwa kila kitu!!!! Hapana kwa kweli.
 
ndio mnasogeza wake wenza bila kujua, ma house girl ni wake wenza hata Ibrahim alitafuna
 
Inabidi tuwachukulie tu vile walivyo kwasababu wangekuwa na ufahamu na mawazo kama ya kwako usingempata na ndo maana wewe sio house girl au house boy kama wao. Jambo la msingi ni kuwatendea haki zote anazostahili mtu wako wa nyumbani. Tusiishi nao kama wafanyakazi bali tuishi nao kama sehemu ya familia zetu na tusiwadhulumu mishahara yao. Ukiwatreat vizuri wanafananiaga familia husika
Mimi siwezi kumdhulumu hata kidogo
 
MUHIMU:
WENGINE NI MUNGU ANAWALETA KWAKO KAMA JARIBU LA ULICHOMWOMBA. WENGINE NI SEHEMU YS VITA ULIO NAYO NA ADUI AMESOGEZA SILAHA ZAKE KARIBU. USITENDE KWA KIBURI. MTANGULIZE MUNGU NA UTAPITA SALAMA.

KUMBUKA:
Wengi mpaka wanaingia kwenye hiyo kazi ni maisha magumu sana kwao. Ni vizuri mkaongea kwanza kiurafiki ukajua malengo yake maishani na lile unaloliweza basi muahidi na muda kabisa wa kutimiza.
ANGALIZO:
Wengi mateso wanayopitia ni nguvu za giza. Hiyo ni mbinu mpya ya wachawi kuingia nyumba za watu haswa wenye watoto wadogo na au chakula kingi. Utalisha wachawi ukome. Ukinunua kinaisha. Unanunua maziwa mtoto anakonda.
DAWA:
Msichana/kijana wa kazi mpitishe kwenye maombi ya haja ili kupukutisha nguvu za giza/uchawi wote.
Nimekaa nao zaidi ya 20 tofauti ila ni maombi tu yanasaidia. Wengine moto wa maombi ukiwa mkali wanaacha kazi. Mpaka sasa aliyepo anataka kuacha ila wa kwao wanakuja usiku kumtisha. Niko kwenye mapambano ya kumnasua. Ni vita imetoka kwa wazazi wake. Mungu atatushindia.
Asante kwa ushauri mujarab mtumishi wa Mungu
 
Back
Top Bottom