Soma maudhii yaliyotanguliwa na hilo neno NAOGOPAUnaogopa nini?
Kuna aina mbali mbali za muungano
Moja wapo ni huu wa kwetu,waazilishi waliamua kuwa na aina hiyo ya Muungano,kwamba kila upande utakuwa na Raisi wake na bendera yake
Kwahiyo mimi na wewe tumeyakuta hayo,kama haturidhiki basi tutafute namna ya kupaza sauti na kurudisha Tanganyika yenu
Kama wakubwa hawaoni haja ya kufanya hivyo na waona la kheri ni kuendelea kutatua changamoto kama wanavyofanya siku zote,basi tukae kwa kutulia
Nimesoma vizur sana ndio maana nikaja na hitimisho la kukuuliza unaogopa nini,wakati hao walio ingia mkataba huo waliona hiyo ndio aina ya Muungano walio utaka kwa wakati huoSoma maudhii yaliyotanguliwa na hilo neno NAOGOPA
Kwa nyakati zao walikuwa sahihi.. Lakini sasa hatuna faida nao tena hasa sisi WatanganyikaNimesoma vizur sana ndio maana nikaja na hitimisho la kukuuliza unaogopa nini,wakati hao walio ingia mkataba huo waliona hiyo ndio aina ya Muungano walio utaka kwa wakati huo
Upo sahihi expert wangu,hilo lipo wazi kabisa tupo pamojaKwa nyakati zao walikuwa sahihi.. Lakini sasa hatuna faida nao tena hasa sisi Watanganyika
Huenda alikuwa na wazo zuri la kuunganisha afrika,Muliyatimba kuungana na wanzanzibar ambao hamkuwa ata na unasaba nao sijui kitu gani kilipelekea maamuzi ya ujimaa kama yale now you pay the price ..Nyerere hakuwaza kuna siku rais atakufa madarakani , angekuwa ana elimu ya ghaib angekipeperusha icho kisiwa .
Swali la kujiuliza ni: Tulifikaje hapa? Pengine jibu la swali hili litatupa mwanga wa namna ya kujikwamuaNaumia sana kwakuwa litalipwa na wana wetu
ENEO LENYE WATU UNCONCIOUS NA WAOGA NILOWAHI KULIJUAMAISHANI😭😭😭😭😭😭10 FACTS ZAKUHUZUNISHA KUHUSU TANGA...NYIKA(Tnk)😭😭😭.
1.) Tnk niliardhi likuuubwa lisilo nchi likiongozwa na mwanamke kutokea nchi nyingine ndooogo kabisa Zbar.😭😭😭
2.) Tnk Ndiyo lieneo ambalo bajeti ya uchaguzi inakaribiana na bajeti yake ya afya kwa nchi nzima.😭😭😭
3.) Tnk Ndiyo lieneo ambalo katiba yake iliandikwa na watu wachache waliojifungia na kukopi katiba ya mkoloni aliyewatesa wao wenyewe.😭😭😭
4.) Tnk Ndiyo lieneo lililoungana na kanchi kadoogo nayenyewe iliyokubwa kufuta heshma yake yakuwa nchi😭😭😭.
5.) Tnk Lieneo zuuri lilojaliwa madini,ardhi,maziwa,bahari,mito, watu, lakini ikakosa siasa safi na uongozi Bora hivyo kuwa nchi duuni afrika mashariki ikifail kupinga ujinga,umasikini na maradhi kwakiwango kikubwa😭😭😭.
6.) Tnk Lieneo ambalo wananchi wanatekwa,wanauwawa, mfano mwananchi anashushwa kwenye basi anauwawa na kiongozi mkuu kabisa anatoa majibu KIFO NI KIFO TUU😭😭😭.
7.) Tnk Lieneo mtu mmoja raisi anateua viongozi na kufukuza apendavyo kuanzia mahakamani majaji mpaka tume ya uchaguzi anaoshiriki kugombea😭😭😭.
8.) Tnk Lieneo Kila mahali nimabango ya mama,mama na watu wake huimbishwa jina la raisi na Kila kinachofanyika Kwa kodi zao na mikopo wanayoingizwa niyeye anasifiwa kufanya.😭😭😭
9.) Tnk Lieneo raisi anaweza kumfunga mtu yeyote,kumtoa madarakani hata SPIKA na hata avunje Sheria vipi haipaswi kushtakia maisha yake yoote.😭😭😭
10.) Tnk Lieneo elimu hutolewa kwa kiingereza lakini wananchi hawaijui hiyo lugha na kiongozi hupewa udaktari sayoyote akiutaka.😭😭😭.
ENEO LENYE WATU UNCONCIOUS NA WAOGA NILOWAHI KULIJUAMAISHANI😭😭😭😭😭😭
Nyerere alifanya kosa kubwa sana kutuunganisha na hao kupe. Ni wakati sahihi sasa wa kuondokana na huu muungano wa kidwanzi wa changu changu, chako changu.Kwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa
Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali
Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu
Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Je mzanzibar si mshirika wetuDeni la watanganyika linazidi kupaa huku likikopwa na mzanzibar
Rafiki wa mwanao sio mtoto wakoJe mzanzibar si mshirika wetu
Kajadili na mamako aliyeshindwa kukulea ipasavyoKwa mapana yake
Tulipotoka
Tulipo na tuendako
Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa
Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau
Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa
Tuyajadili kwa undani yale yanayosemwa kwa sasa.. Utawala wa mamluki .. Watu wasio na huruma na Tanganyika yetu.. Na tuhuma zisizosemwa kwa sauti
Tujadili kwa mapana namna wachache kati yetu walivyokubali kuiua Tanganyika kwa kukosa uzalendo na kupokea mafungu ya shekeli za laana
Hii ni mada ya Tanganyika kwa watanganyika.. Kama wewe ni mamluki kaa pembeni tafadhali
Una lolote la kuiambia Tanganyika? Karibu
Ref: Plato: Myth of the caveView attachment 3366497
Ukija upande wa pili wa shilingi, zanzibar imemezwa na Tanzania bara au tumeseme Tanganyika ya mchongo
Zanzibar haiwezi kujiamulia mambo yake yenyewe ikiwemo kuingia mikataba mbali mbali ya kimataifa
Mpaka idhini itoke Tanzania bara/Tanganyika,kwahiyo ukiyaangalia haya mambo bila upendeleo utaona Zanzibar haina sauti
Na niwe mkweli lau Zanzibar isingefunga ndoa na Tanganyika tungekuwa leo tunaenda Zanzibar kufanya shopping kama tunavyoenda Dubai
Miaka ya nyuma wakati tupo wadogo watu walikuwa wanaenda zanzibar kununuabidhaa
Zanzibar ilikuwa na Television miaka mingi nyuma,kwahiyo kiukweli ukiniuliza mimi sisi Watanganyika ndio tunawachelewesha wazanzibar
CCM waliufungia kwenye kabatiHuu uhuru wetu sijui ulienda wapiView attachment 3366498