Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

God forbid😩😩😩
 
Naunga mkono hoja. Watanganyika tumeikana Tanganyika na kukubali taifa la jamuhuri ya Tanzania. Hawa wajalaana wanatuona mafala sana wanakazia kuwa kile kifusi kule baharini ni inchi kamili na inatakiwa kuheshimiwa. Manina zao tumalizane vibaya tu warejee kwao. Tuanze upya.

Huku yeyote mwenye asili ya kule aondoke na turejeshe bendera ya taifa letu la Tanganyika tuishi kwa misingi yetu ya upendo na umoja.

Hawa wadini,zao la bahati mbaya kujiona wao ndio wao warudi kwao story iishe.
 
God forbid😩😩😩
Mbaya zaidi hakuna miradi inayoweza kuoneshwa kwamba imetekelezwa Kwa hizo Trillioni 45 zilizofanya deni la Taifa lipae kiasi hicho

Kwa maana kama Bwawa la Nyerere hadi JPM anafariki tayari Mkandarasi alishalipwa zaidi ya Trilioni 3.7

Hiyo Sgr ilishalipwa zaidi ya Trilioni 1.4

Sijui hizo Trilioni 45 zimeingizwa kwenye Mradi gani Mkubwa zaidi ya miradi yao binafsi ya matumbo πŸ™Œ
 
Halafu wanaosaini hii mikopo ni watanganyika pure
 
Naunga mkono
 
Hawana aibu hawa takataka. Unajua viongozi miaka ya zamani wakiumbiliwa wanakuwa na aibu,walikuwa wanawajibika kwa uzembe wowote,hawa wasasa wamejawa na viburi na utomvu wa nidhamu.

#Wawajibishwe
Tuna G55 ya mchongo iliyojaa mamluki na makuwadi wa kuidalalia Tanganyika😩😑
 
Miradi ipo, ununuzi wa magari ya bei, kulipa posho zisizo na mbele wala nyuma,kugawa pesa kwa wasanii ili waseme "Mamaa mama mama mama", na kadhalika.
 
Miradi ipo, ununuzi wa magari ya bei, kulipa posho zisizo na mbele wala nyuma,kugawa pesa kwa wasanii ili waseme "Mamaa mama mama mama", na kadhalika.
Viongozi hawana Uchungu na Nchi yao zaidi ya kushindana kuiba na kufisadi tu

Tunakoelekea tutaanza kuweka rehani maliasili zetu ili kufidia madeni tunayodaiwa.

Hili jambo ni hatari sana Kwa Mama Tanzania πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…