Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Duh!yaani Leo nimekaa nikafikiria hivi kwenye hii miaka kuna watu wanafuatilia tamthilia ya ISIDINGO ya ITV kwasababu Kama wapo ni ajabu....
Sijawahi jua ina episode ngapi na itaisha lini kwasababu toka naanza kujielewa mpaka leo ni takribani miaka 12 Ila haijawahi fika mwisho....

Na kama yupo amabaye alianza nayo toka mwanzo labda ashazeeka Sana
 
Sasa mbona huwa husalimii baba zako wadogo ambao tupo humu ?
 
Masikini Sechaba yupo njia panda,
huku Phindile anashirikiana na Lincoln huku raia wanamtupia lawama....πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”...Uongozi ni jalala la lawama.

Claudette huenda hakumfahamu vizuri Lincoln ni mtu wa aina gani, hasa kwenye kupigania na kulinda maslahi yake.

Anja hana raha kabisa na Olivia anahisi kapokonywa kila kitu kuanzia mpenzi mpaka marafiki sema anajizuia kumpa makavu.
 
Huyu ndio Lincoln kama Claudette alikuwa hajui ndo atajui vizuri .
Sechaba yuko katika wakati mgumu.
Hotelin lawama za wateja ofisin wananchi nao wamempanda kichwani .huyo bra shoes ameenda.
There's is something btn Florence na gatty.

Anja bhna anashoboka sana aseeh si asepe tu awaache hao rafiki zake wapenda vitonga?
 
Huyo Florence nae mbona kama kuna kitu anaficha? Afu Morongwa nae anajikaza wakati anamzimia mzee Gatanga
 
Huyo Florence nae mbona kama kuna kitu anaficha? Afu Morongwa nae anajikaza wakati anamzimia mzee Gatanga
Ndio kuna kitu anaficha labda huko alipotoka ana kesi kakimbia
Anajikuta mlokole

Morongwa anajikuta hardcore na ni jiwe kweli kweli .ni ile type ya wanawake ambao never hawawezi kukufungukia
 
Olivia kampokonya Anja marafiki zake, hii inaumiza kusema kweli na inamtesa sana Anja...πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”...huenda baadae lakini mambo yakageuka maana hao ni wapenda vya bure.

Morongwa mkorofi sana...teh teh 🎢..mademu kama hawa ukiwazingua lazima wakujazie nzi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sotobe bhana...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...tayari kashafika bei kwa Mzee Lincoln...pesa haina mjanja..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sechaba anapata tabu sana kwa Sasa...huku Phindile huku ghasia yaani jamaa anapata tabu sana.
 
Pesa pesaaa .
Imempokonya anja marafiki zake .
Imelainisha moyo wa sibiya kuwashawishi wenzake.

Ningekuwa mie sechaba ningerusha na ngumi hata kama bodyguard wa mzee baba yupo.eti anamwambia tuongelee hapa au tutafute sehemu?

Hivi kwanini isidingo wasimuache sechaba akapumzika hata kidogo?

Ila naona uhakika wa gatanga kumla frorence ni mkubwa mnoo.

Nanukuu pesa ni sabuni ya roho?
 
Olivia kampokonya Anja marafiki zake, hii inaumiza kusema kweli na inamtesa sana Anja...πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”...huenda baadae lakini mambo yakageuka maana hao ni wapenda vya bure.

Morongwa mkorofi sana...teh teh 🎢..mademu kama hawa ukiwazingua lazima wakujazie nzi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sotobe bhana...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...tayari kashafika bei kwa Mzee Lincoln...pesa haina mjanja..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sechaba anapata tabu sana kwa Sasa...huku Phindile huku ghasia yaani jamaa anapata tabu sana.
Sechaba bhana eti hey studying room my foot..!
Sema hii inatukumbusha kuwa hakuna mwanamke anayetaka kuacha fursa ipite ili abaki tu wewe .nae phindi hana hata aibu adui wa mumeo ndo unamsapoti?

Hebu amuonee huruma basi jamaa
 
Huu urafiki wao wa ghafla huku wakimkomoa Anja sidhani kama utaishia pazuri huenda kuna upande utaumia.
Wanazani wanamkomoa anja mwenzao obakeng atampooza .
Olivia anadhani anamkomoa anja maana alikuwa anampenda obakeng .anja akampiga stop.
Ila kale ka ehnie kalafi sana aseeh eti kakampita rafiki yake anja kama hakamjui dah pesa nomaaa
 
Back
Top Bottom