Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,239
- 22,674
mbwa hawezi kuelewa..Umeandika nini hapa ?
wenye mbwa ndo wataelewa..
acha kunishobokea UHURU JR hebu njoo umuone huyu mjinga
mbwa hawezi kuelewa..Umeandika nini hapa ?
Kuna nini tena?
huyo jamaa sijui vipi?Kuna nini tena?
Bas bas usilie chukua Pepsi big shushiahuyo jamaa sijui vipi?
anasema nimeandika nini hapa?
hasomeki yaani
Nina ni mwanamke hatari mno sijui anataka kumrusha Clive pesa.ule usemi wa usiishi na mke mwenye kazi umejidhihirisha kwa hendrich mwenyewe dah
clive yupo kwenye mtihani mzito.
sechaba nae kanifurahisha sana eti
"naona vi~slayqueen vinaingia na kutoka humu hotelini" hahaha
nina hafai kufanya nae mchongoNina ni mwanamke hatari mno sijui anataka kumrusha Clive pesa.
Kwa Lincoln lazima awe mpole maana Mzee pesa anayo alafu pia ni Mafianina hafai kufanya nae mchongo
ukitaka kumpatia nina mpeleke kwa lincoln uone..
Nina ni mwanamke hatari mno sijui anataka kumrusha Clive pesa.
Clive ataumbuka muda si mrefu ila kwa Ntando utata mtupu sijajua anafanya makusudi au?clive!
matatizo juu ya matatizo..
ntando nae kakimwagia kitumbua mchanga..
itakuwa kuna kitu maana jana alikuwa anaongea na dingi yake.. ila hawakuonesha mtu aliyetaja ila aliuliza tu who?? halafu akacheka baada ya jibu. 🤔🤔Clive ataumbuka muda si mrefu ila kwa Ntando utata mtupu sijajua anafanya makusudi au?

yule ni Nunda toka kitambo itakuwa ni mambo yake na NIna au kaona kinanuka soon so anaweka akiba asepe!.Kuna sehemu sijaelewa Clive zile pesa anaziiba pale hotelini? Na malengo yake ni nini naomba mnisaidie
Mkuu Leo sijaangalia nipe mbili tatu zandre kapewa kichapo na Clive nini??Masikini Zandre! Clive ni hatari mno
Mkuumbwa hawezi kuelewa..
wenye mbwa ndo wataelewa..
acha kunishobokea UHURU JR hebu njoo umuone huyu mjinga
Kumbe Seline hafahamu whereabouts za mumewe.Hata Clive sio mtu mzuri. Hapo lazima kutokee mtiti,sijawahi kumuamini. Naona katika hili hata Seline atafahamu ukweli kuhusu Clive.