UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Toka jana mkuu leo pia wameendelea.leo itv wamefanya la maana
hawa kina sibiya akili zao wanazijua wenyewe.
makgolometsa watamuua bure.
vita mpya sasa ni nina vs lincoln
Toka jana mkuu leo pia wameendelea.leo itv wamefanya la maana
hawa kina sibiya akili zao wanazijua wenyewe.
makgolometsa watamuua bure.
vita mpya sasa ni nina vs lincoln
Kichaa pale ni Sibiya,anapenda fujo sana. Na fujo zake zinaishia kuwajeruhi wenzake. Na hajifunzi. Anachoma mgodi ili warudishwe kazini,ni akili au matope?leo itv wamefanya la maana
hawa kina sibiya akili zao wanazijua wenyewe.
makgolometsa watamuua bure.
vita mpya sasa ni nina vs lincoln
Itaisha siku ambayo ccm itaondolewa madarakani.
kweli sibiya ndo mastermind wa yote.. nao wenzake kawashika akili. sasa wakichoma mgodi kazi watapata wapi??Kichaa pale ni Sibiya,anapenda fujo sana. Na fujo zake zinaishia kuwajeruhi wenzake. Na hajifunzi. Anachoma mgodi ili warudishwe kazini,ni akili au matope?
mkuu naskia huko mbele lalage alikuwa anatokana lincoln kimya kimyaSijamuelewa Lincoln anataka nini kwa Lalage,something fishy is going on!
Huko mbele mumewe Lalage ndio atakuwa anatoka na sister yake Lalage.mkuu naskia huko mbele lalage alikuwa anatokana lincoln kimya kimya
inaonekana kama hendrich alikuwa kama anamlipizia lalage kwa kutoka na wendy!UHURU Jpost: 32441122 said:Huko mbele mumewe Lalage ndio atakuwa anatoka na sister yake Lalage.
Nimeona hiyo possibility.mkuu naskia huko mbele lalage alikuwa anatokana lincoln kimya kimya
Mzee yuko mawindoni!Sijamuelewa Lincoln anataka nini kwa Lalage,something fishy is going on!
Clive ana wasiwasi na Ukaguzi bado ana hofu Siri yake kuvuja! Jamaa ana mabalaa mengi huyuhuyu lalage asipoliwa na lincoln mh!
ntando anataka kuweka public mahusiano yake kg.. ila kg roho inasita!.
hahah yule jamaa bhana kesi haziishi nahisi mkewe anaweza jua kuwa yeye ndo jaqcues maana zandre kataja hilo jina ila naye hajui kama ndo clive. hapo chacha!Clive ana wasiwasi na Ukaguzi bado ana hofu Siri yake kuvuja! Jamaa ana mabalaa mengi huyu
Umeandika nini hapa ?inaonekana kama hendrich alikuwa kama anamlipizia lalage kwa kutoka na wendy!
Niwe nakusimulia kama hutojaliDuh! Hii tamthilia niliacha kuangalia alivyoacha kuigiza Derick nyati
Clive alifanya mitikasi gani huko nyuma ?Clive ana wasiwasi na Ukaguzi bado ana hofu Siri yake kuvuja! Jamaa ana mabalaa mengi huyu
mbwa hawezi kuelewa..Umeandika nini hapa ?