Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Sechaba ana mama ake ambaye kazaa na matabane,yule seipati kawalea tu na pia elias hakufanikiwa kumpa seipat mimba na mwanamke kuona hivyo akaamua kukatisha mahusiano ila elias hakukubali akaamua kumuua. Sasa wazee wameamua kumpendelea sechaba kama ishara ya kumlipa seipat fadhila
Hapo nimekusoma vizuri sana
 
mama ake Sechaba hadi kwenye harusi ya Sechaba alikuja
na alikaa pale wakajikuta wameelewana na Lerato
sema hakumlea
pia Moloi mkubwa ndio alimlea Sechaba km mtoto wake wa kumzaa
Elias ni mdogo kwa Moloi mkubwa
 
Back
Top Bottom