Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Tuesday

Asubuh,matlala anampigia simu lerato na kumueleza walichoambiwa na sechaba,lerato anamtaka asipanic ataongea na sechaba,lerato anamuuliza sechaba kwann kawaabia akina matlala kuwa watapunguzwa kazi,sechaba anasema kawaambia ukweli halisi,lerato anamuonya anajitafutia matatizo ila sechaba anatetea msimamo wake

Anja yupo sebulen akiongea na simu,zandre anaingia na kukaa kwenye kochi,anja anamgeukia kumuomba amsaidie mahesabu ila zandre anatetemeka anja anaogopa na kumuita mama ake,mama mtu kuja anamkuta mwanae ana hofu na kutetemeka huku akilia

Penthouse,morogwa yupo mezan akimuagiza mfanyakaz akamuandalie breakfast nzito,wendy anatokea na kumkuta akitoa maagizo hayo,wendy anamwambia mfanyakaz asimsikilize morogwa,na kumtaka morogwa aende kazin,morogwa anaondoka akilalamika kanyimwa chai

Sechaba akiwa ofisin kwake,ofentse anaingia na kumtaka wafanye kazi ya kusuluhisha mgogoro wa wafanyakaz ila sechaba anagoma na kusema yeye sio mfanyakaz wa hapo

Wakipata uji hendrik hamuhurumii kijana wake anaona kama anajifanyisha uoga sababu ya uharibifu alioufanya,kijana anaacha uji na kuomba kurud chumban(kijana anataman kusema ukweli ila anashindwa) anja anamuonea huruma kaka yake

Ofisi ya paparaz wapo wanajadili na kufurahia kupata nafasi ya kumhoji waziri

Ofentse akiwa kikaon anawapa maelekezo wafanyakaz wake ili kukabiliana na mgogoro unaokaribia kujitokeza,anamuuliza sechaba kama ana la kuongea,sechaba anamwambia bora aende moja kwa moja akaongee na wafanyakaz mgodin,ofentse hakubalian na wazo la sechaba

Morogwa anamkuta wendy akitandika kitanda chumban kwa nikiwe,morogwa anaanza fujo,mara ajaribishie wigi la nikiwe mara viatu mara alale kitandan wendy anamkataza morogwa anavamia pafyum wendy anajaribu kumyanganya wanajikuta wameidondosha chini,wendy anamtaka morogwa arud geto kwake

Sechaba akiwa the rec na kgotha anajaribu kumshawish kgotha wacanye kazi pamoja,kgotha anapenda mawazo ya sechaba

Anja anaenda penthouse na kumwambia wendy kuhusu zandre,mwisho wanakubaliana kumsaidia zandre ili kufahamu tatizo

Asubuh hendrik anamaliza kuongea na mwalimu wa zandre na kusema mwalimu anataka kulipwa pesa ni pesa ndefu,hendrik anasema zandre akafanye kazi mgodin,mara wanaingia rafiki wa zandre,zandre haonyesh kufurahishwa na ujio wa hao jamaa

Ofentse anampa ofa kubwa sechaba ya kubaki SG ila sechaba anakataa

Morogwa anarud geto kwake,thabang anamuuliza kama karud kufata nguo ila morogwa anasema karudi kimoja,thabang anasema itabidi atafute sehemu nyingine ya kulala,morogwa anamwambia watatosha humo

Akina matlala wakiwa na jez zao za mgodin wamevamia ukumbi wa mikutano sg wengine wamesimama wengine wamekaa kwenye viti wakijizungusha,ofentse anaingia wanamwambia wanataka kufahamu nini kinaendelea kuhusu wao na kwamba wameambiwa watafukuzwa kazi,ofentse anawauliza kama chanzo chao cha habar ni cha uhakika,wanamlaum mara kgotha anaingia na kuwaambia ukwel kisha anawaambia kuna projecy itakayowasaidia watakaokosa kazi SG,wakati kgotha anafafanua jambo ofentse anajaribu kuongea ila matlala anamtaka akae kimya. Kgotha anawaelezea,ila akina sibiya wanalalamika kuhusu kuandika test nyingine
 
Sante mkuu,kumbe nilielewa vibaya maana nimeangalia na ya kesho so nikadhan morogwa kamaanisha aliyomanisha ya kesho

Usijali mkuu challange nzuri kwa ubora wa tamthilia. U a welcome.
Asante kwakutuletea hii tamthilia hapa jukwaani , Mimi ni mfuatiliaji mzuri na Leo ningependa nikuchallenge hapo morogwa aliporudi ghetto protection alimaanisha yaan uwepo wa thabang hapo ni a blessing kwa sababu ni mwanaume so kama vile itasaidie kwenye ulinzi\usalama wa hapo ghetto maana jamaa ni mmwanaume wa shoka ! Ila we umeandika watatumia kinga hiyo sentence ni tata :D ningependa kuweka hii pm unfortunately pm yako imefungwa.
 
Hivi Lerato hawezi kweli kuzaa au ni kuigiza tu? Maana nakumbuka kama niliwahi kusoma sehemu hawezi kweli kuzaa ila sina kumbukumbu.
 
Wednesday

Wachimbaj bado wapo boardrum wakiimba na kucheza sechaba anawanyamazisha. Kgotha anawapa maneno ya kuwapa matumaini mengine ya ajira na kusema keshamchagua mtu atakayewasimamia na kumtaja sechaba jamaa wanafurahia

Kwa hendrik wakiwa sebulen na rafik zake zandre,hendrik anawauliza kwann hawakumzuia mwenzao kuharibu gar jamaa wanajibu hawakuweza na pia wanasema zandre kaonewa

Morogwa anarud geto kwake,thabang anamwambia hadhan kama ni wazo zuri wote kuishi humo,wakiwa wanaongea anaingia gatanga,morogwa anajitetea kaenda angalia kama thabang anahitaj chakula na kuondoka,gatanga anamongea na mwanae akimwambia amfundishe ujanja wa kumsaidia kumpata morogwa,jamaa anabak kapigwa butwaa

Sechaba anamwambia lerato kuwa kapata ajira kwa kgotha

Rafiki wa zandre wanarud home kwa hendrik na kumkuta zandre peke yake,zandre anawauliza wamefata nini wanamjibu kwa kejel na kutaka kumpiga,anja anaingia na kuuliza kulikon

Paparaz anamhoji kiongoz

Ofentse anaenda ofisin kwa sechaba na kumwambia kuhusu kufaham ukweli wote wa mgomo wa wafanyakaz na kwamba sechaba ndo chanzo na kumtaka ahudhulie kikao cha kumpa adhabu sechaba anakataa na kusema ameshaacha kazi,ofentse anamwambia asipoenda kikaon hatapata mafao yake

Anja anajiandaa kutoka nje,mara anamkuta rafiki wa zandre kakaa sebulen peke yake,anja anaamua kukaa na huyo rafik na kumhoji kuhusu ishu ya zandre,zandre anatokea na kuhisi jamaa anamtongoza anja na kuanza kufoka na kuropokoka kuwa wanam bully.

Mgodin,sechaba anaenda mlaum matlala kwa kumsaliti kumwambia ofentse kuwa kawaambia watafukuzwa kazi,matlala anajitetea,sechaba anahisi sibiya au gatanga,matlala anakataa,wakiwa wanajiuliza ni nani hendrik anaingia wanamhisi ni yeye

Kgotha akichukua oda yake ya chakula the rec, huku akimuuliza morogwa kuhusu biashara,wendy anatokea,kgotha anamuuliza maendeleo ya penthouse,wendy anajibu pako shwar,kgotha anasema afadhal maana nikiwe ana wasi wasi mpaka akaweka kamera za ziada,kgotha anaondoka,wendy anapata wasiwasi hasa kwa kitendo cha morogwa kulala penthouse na vile vituko chumban kwa nikiwe. Morogwa anasema hayamhusu maana alimfukuza mwenyewe

Kgotha anajadili jambo la kikaz na sechaba na kumwambia aongezee bidii amshawishi zaid maana bado hajampa ajira kamili,sechaba anashangaa na kumuuliza mbona alimtangaza mbele ya wachumbaj ,kgotha anajibu alikua anawanyamazisha wachimbaji

Zandre anakutana na rafiku zake njian ambao wanamzingua kwa kuwafokea kuhusu anja,jamaa wanampiga,wendy anatokea na kuwatishia kisu wanakimbia

Aunt na lerato wapo the rec aunt anamshawish lerato kwa pamoja nae wawasuluhishe sechaba na ofentse

Thabang anapokea simu ya kuitwa interview nzinga,kisha anasema hana suti na kumuomba gatanga amuazime suti yake,gatanga anasema haina haja anampa kadi na kumtaka akanunue suti ila abakishe hela maana anataka kumhonga morogwa,gatanga anaondoka,morogwa anaingia anaiona kadi mezan na kumdanganya thabang kuwa hio kadi gatanga kaiacha kwa ajili yake akakae duncan,thabang anajikuta anamuamin,morogwa anaichukua na kuondoka

Sechaba akiwa busy sebulen na masuala ya kazi,lerato anamuongelesha kuhusu masuala ya familia,mara aunt anaingia na mizigo yake akisema anarud humo na lerato kamkubalia. Sechaba anabaki akishangaa
 
Thanks
 
Thursday

Sechaba ana wasiwasi wa aunt kuish ndan hapo na anamwambia lerato kuhusu yaliyotokea ofisin,wanaelewana kuchunga maneno yao wakiwa karibu na aunt

Asubuh,hendrik anaenda na zandre mgodin kwa lazima

Morogwa na wendy wanamuita mlinz penthouse na kumuomba awasaidie kuipata video ya cctv,jamaa anauliza watampa ninj akiwasaidia,morogwa anatoa ofa ya msosi wiki nzima the rec,jamaa anakubali

Mezan,aunt anajiongelesha wee ila sechaba wala hamjibu kwa aman au kufurahia uwepo wake hapo,mara mlango unagongwa anaingia mbabu sechaba anamuita chefu ntate,chief anasema kaenda kupata habar zaid za ardhi toka kwa sechaba,aunt hafurahii jambo hilo

Mgodin ofisin,hendrik anamuelekeza masuala.mbali mbali ya kazi zandre ila zandre ana wasi wasi atakwama huko mgodin,gatanga ana akina matlala wanatokea,hendrik anamtambulisha zandre jwao na kwamba atakuja kufanya kazi nao muda si mrefu akina matlala wanasema bado mdogo na ana ogopa ila hendrika anasema keshakua na wala haogopi

Paparazi wanaagana na waziri

Ofentse,sechaba,aunt na lerato wakiwa kwa sechaba sebulen wakiongea,chefu anaonyesha waziwazi hampend ofentse huku akisema yupo kama baba ake,kisha wanaenda kuangalia ardhi yao

Morogwa anaenda panga chumba duncan kwa kadi ya gatanga

Wendy akiwa the rec na dada yake wanaongelea suala la zandre kupelekwa mgodin na hendrik

Wakiwa mezan akina sechaba wanaongelea suala la ardhi ila aunt nae anataka mumewe atajwe kwa mema,uncle anasema hakumuamin elias sababu alikua msaliti na wamemchagua sechaba maana hawamuamin ofentse atakua kachukua tabia za baba ake

Morogwa anamwambia wendy kuwa mlinz anataka kula nae the rec mlo mmoja

Wendy anamwambia zandre amwambie ukweli ili amsaidie,zandre anapokea sms ya vitisho toka kwa rafiki zake

Uncle anawaambia akina sechaba ni muda wa kuwaletea wajukuu,sechaba anabaki kucheka

Wakiwa rum lerato anamkasirikia sechaba kwa kucheka na kumtaka amueleze ukwel chefu kuhusu suala la lerato kutopata mtoto,sechaba anakataa

Uncle anasema sechaba ana mamlaka yote na kumtaka achague watu wa kumshauri pia anamtaka ofentse ampe ushirikiano sechaba ili nao wamuamini
 
Sechaba anamiliki the Duncan! Mighty barker is gone rajesh is gone, papa g is gone yani ni kizazi kipyaa ila cha ukweli. Pitia youtube
 
Nimemmiss Gabrie tayari,bila Gabi isidingo haivutii kwa kweli. Pia kuna wageni wengi kabisa wameingia kwa mkupuo. Hivi wale waliokuwa wanamhoji waziri ni walewale wa ON TV ama ni ingizo jipya nao?
 
Nimemmiss Gabrie tayari,bila Gabi isidingo haivutii kwa kweli. Pia kuna wageni wengi kabisa wameingia kwa mkupuo. Hivi wale waliokuwa wanamhoji waziri ni walewale wa ON TV ama ni ingizo jipya nao?
Kuna watu wakiondoka pengo lao huwa sio rahisi to cover,like Frank mpaka leo hakuna wa ku cover nafasi yake
 
Ingizo jipya hao on walikuwepo akina skhu,charlie,frank,Samantha

Halafu hawa hawajiamin au wanaigiza kupitiliza
Nimemmiss Gabrie tayari,bila Gabi isidingo haivutii kwa kweli. Pia kuna wageni wengi kabisa wameingia kwa mkupuo. Hivi wale waliokuwa wanamhoji waziri ni walewale wa ON TV ama ni ingizo jipya nao?
 
Friday

Asubuh sechaba ana wakati mgumu katika kuwaza nani wa kuwa mshaur wake kwenye masuala ya ardhu lerato anamshaur kuhusu kumchagua ofentse sechaba anabisha ila anabak kufikiria wazo hilo

Home kwa hendrik akijiandaa kwenda kazin anamuita kijana wake waende mgodin,anja anatokea na kusema zandre hayupo,mama mtu anatetea kamtuma sehemu,hendrik anasema akirud amfate mgodin,baada ya hendrik,anja anamuuliza mama ake kama kamtuma zandre ila mama mtu hafahamu alipo zandre kadanganya tu kwa hendrik

The rec,wendy anamkuta mlinz mezani,wanaagiza msosi,mlinz anamwambia ana maongez nae tena usiku,wendy anakataa

Aunt anampelekea lunch ofentse na kumshaur kuhusu kukubali cheo atakachopewa na sechaba,ofentse anakataa na kusema kwanza sechaba ana skenda hapo kazin na atamshughulikia,aunt anamtaka aachane na wazo hilo huku akimtaka kucheza na fursa iliyopo

Zandre anaenda kwa wendy huku akilalalmika hawez kwenda mgodin kuna hatar,wendy anamtaka amweleze ukweli wote,zandre anashindwa fanya hivyo

Paparaz wa on wanaongelea ishu zao za kikazi

Sechaba anampeleka lerato duncan,wanapanga chumba kwa ajili ya kula raha pamoja maana ni kipind kirefu hawajawa pamoja kwa furaha.wanaenjoy champagne

Anja anamuonyesha wendy video ambayo rafiki zake zandre wanapiga wenzao wakiwa na visu pia,na kuona zandre hayumo kwenye hilo kundi na kuhisi kuna kitu kimejificha

Ofentse anaongea na ben kwa video chat,ofentse anamwambia kuhusu sechaba,ben anamshauri amsapoti sechaba,ila ofentse hakubalian na wazo hilo

Wendy na anja wanamuita zandre penthouse na kumuonyesha video za ushahidi walioupata,zandre inabidi awaeleze ukweli kua anaonewa na wale jamaa wakorofi na hakuharibu gari la mwalimu

Morogwa yupo duncan rum akitengenezwa kucha huku akinywa champagne

Aunt anaongea na uncle chefu akimsifia ofentse ila chefu hakubalian nae,mwishowe aunt anakasirika na kumwambia hao anaowapendelea sechaba na lerato hawatamletea watoto maana lerato mgumba,sechaba na lerato wanaingia bila aunt kutarajia,aunt anashushuka kuwaona
 
Back
Top Bottom