Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Friday

Penthouse,nikiwe anakasirika kupigwa na kuamua kumfanyia fujo gabr,wanabishana hapo na kupeana maneno ya kashfa,nikiwe anamwambia gabr aondoke hapo. Gabr anamlaum nikiwe kwa usaliti na kumuita malaya kwamba alilala nae wakat akiwa bado na mahusiano na skhu hivyo anamfanyia hivyo hivyo kwa ben,anamuuliza nikiwe nina ambacho ben anaweza fanya yeye(gabr) hawezi.nikiwe anajibu ben ni mwanaume wa shoka, kisha anaendelea msifia ben huku akimpondea gabr. Gabr anarusha bonge la kibao kinachompata nikiwe na kudondoka chini.

Ben akiwa anataka kutoka geto kwake anasikia kelele toka kwenye pc yake kuangalia anakuta movie ya penthouse,nikiwe akiwa chin huku gabr akifoka foka,ben anaita nikiwe kisha anaondoka kasi

Duncan,kgotha anamwelezea rajesh kilichotokea the rec huku akimlahmu gabr kwa tabia zake za ajabu.mara wanagundua wanachomeshwa mahjnd na kushangaa mbona ben na nikiwe hawatokea,rajesh anasema labda wapo sehemu wana yao na kumtaka kgotha waondoke ila kgotha anasema wasubirie labda ben anaweza tokea na asiwakute

Gabr anampiga kibao nikiwe ambae kalala chini ila nikiwe hajitikisi gabr anagundua kaharibu na kuanza kumuamsha nikiwe,mara simu inaita gabr anaitafuta na kupokea na kukuta mpigaji ni ben,ben anamwambia kaona kilichotokea na anakuja atamkomesha,gabr anachanganyikiwa anamgeuza nikiwe na kukuta anavuja damu mdomoni,gabr anakimbia na kutoka humo ndani.

Ben anaingia akiwa na mlinz anamwambia amtafute gabr humo ndan,ben anamuamsha nikiwe,nikiwe anaamka na kuogopa akidhan gabr bado yupo ila ben anamtoa wasiwasi na kumwambia anaita gar la wagonjwa na polisi ila nikiwe anakataa huku akilia kwa uchungu

The rec,morogwa akiwa anaonvea na watu matlala anamfata na kusema ni muda wa kuondoka,morogwa anamshukuru matlala kumtoa kwwnye kund la watu huku akijisifia kacheza vizuri,matlala anamwambia kuna mtu anamfatilia huku akimwangalia gatanga ambaye anamwangalia morogwa huku akitabasamu.matlala anamwambia gatanga anavyomwangalia hamaanish urafiki bali kuwa wapenz,morogwa anasema gatanga hamuwez,matlala anasema gatanga atamloga sababu madawa yake yana nguvu,gatanga anawafata walipo,matlala anawaacha waongee,gatanga anamsifia morogwa na kumpa ofa ya kumsindikiza nyumban.morogwa anaikataa ofa kisha anakubali,gatanga anamfata,matlala busy akiangalia notebook ya gatanga ambayo aliiacha mezan

Ofentse anaingia home kwa ben na mgen huku akishangaa mlango kuaa wazi

Ben anamkalisha nikiwe kwwnye kochi na kumuitia dokta wake binafsi,wendy anatokea na kushangaa hali ya nikiwe,ben anamgaka wendy amsaidie nikiwe kwenda chumban maana asubuh dokta atamhudumia huko

Ben amapigia simu kgotha na kumwambia kilichotokea na jins nikiwe asivyotaka kuripoti polisi au kqenda hosp,kgotha anasema wanaenda alipo ila ben anasema wawnde asubub muda huo nikiwe hataki onana na mtu. Kgotha anamwambia rajesh habar hio

Rum kwa nikiwe ,wwndy anamvalisha nikiwe nguo ya kulalia huku akimtaka akubali ben aripoti polisi tukio hilo,nikiwe hakubali.nikiwe analala kitandan akiugulia maumivu makali

Morogwa anarud kwake na kjkuta mlango wazi,anatishia ana bjnduki so aliyepo ndan ajitokeze,gabr anajitokeza na kumtaka morogwa amsaidie kisha anamweleza tukio la kumpiga nikiwe,morogwa anamlaumj na kumuuliza kama anataka kwenda gerezan tena

Rajesh na kgotha wanaingia penthouse,rajesh anataka khita polisi ila ben anasema nikiww hataki na kuahidi atamsaka mwenyewe akimkamata gabr atajuta kuzaliwa. Kgotha anampelekea dawa za kupunguza maumivu nikiwe ila nikiwe kalala kitandan hakubali hizo dawa

Hostel hendrik anabandika sheria za kufuata humo hostel,sibiya na wenzie wanalalamika wakisema hapo sio shule ya bweni. Matlala anatabasamu sababu anayo notebook ya gatanga yenye maovu yao

Asubuh morogwa anarud geto kwake,gabr anaulizia chakula,morogwa anamwambia jins ben na kikjnd chake wanavyomtafuta kwa udi na uvumba,gabr anakasirika kwa ben kujiweka kwwne mambo yasiyomhusu,morogwa anasema sababu nikiwe ni rafiki yake na dada ake ila gabr anasema hawana urafiki wala undugu ila ben anataka kulala na nikiwe. Morogwa anamtaka gabr aondoke geto la sivyo atamripoti kwa ben,gabr anamuahidi kumlipa peaa ila morogwa anamwambia ben katangaza ofa ya pesa ndefu,gabr anamuuliza kama hatamsaliti,morogwa anasema hata muuza ila aondoke geto kwake. Gabr anabaki kapigwa butwaa haamin
 
Mambo ni
 
Back
Top Bottom