Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Haya bana naona hii inaweza kuwa ndio basi ila sidhani kama linc ataenda jela maisha maana ni kama anataka kuplot na ndio maana kaacha kupiga simu emergency au pia inaweza kuwa ni bahati mbaya
 
Ebwana ya Leo nimeona Linc anamzika Kat mwenyewe,sijui sehemu gani ile.
 
Linc amemkanumba katlego! Kamsukuma kandoka kwa nyuma
Ila hii drama katlego ndiyo chanzo mwanamke muda wote anapayukaaa tu tena amemchelewesha sana, ilibidi ameshamzabua kitambo, wanawake wa aina ya katlego ni jinamizi kwenye ndoa
 
Hahahahha ni kuishi nae kwa akili tu
 
Back
Top Bottom