Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ni kweli mimi hata sipendi yaani! Leo eti ameweka midoli yenye tukamera! Anawa spy wanachokiongea! Dah Katlego kazi anayo! Mwanaume hana ladha mgumu kama jiwe la baharini hana furaha yaan! Dah maisha ya hivyo heri uolewe na fundi viatu muishi kwa amani
Kupitia ile midoli yenye kamera uligundua nini Calvin alipomtembelea Catleho?
 
Sijaelewa kilichotokea kwa Aphiwe mpaka akapata bruises ktk tumbo lake.. Plzz mtu aniambie what happend
 
Sijaelewa kilichotokea kwa Aphiwe mpaka akapata bruises ktk tumbo lake.. Plzz mtu aniambie what happend

Last friday sikuiangalia pia ila katika flash back memory ya calvin inaonekana walikuwa hotelini kwenye chumba. Sasa wapendanao na michezo yao aphiwe akamblind fold calvin ... Hiyo ikatrigger machingu ya yaliyotokea wakati ametekwa kule CAR ndo akamuattack. Mateso aliyopotia akiwa amefungwa macho and stuff like that
 
Back
Top Bottom