Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Hatimaye tumememaliza sasa safari yetu kwa miaka 21 dah isidingo umenipa talaka mke wangu
Safi sana ITV wamesema wanaleta uzalo soon inaanza yaani bampa to bampa kmk ITV juu..!
Halafu Lincoln pale alikufa au?
ITV ipo DSTV?
 
zipo nying mbona za huko huko south africa,,, , kuna scandal , rhythm city na nyinginezo
 
Nilianza kuifutatilia ila nikaona haifai kabisa. Haiwezi kufikia viwango vya ISIDINGO. Lungi Byela na ZEB Mathabane wapo kule
Mimi toka mwanzo nilipanga kutokuangalia ila ilikuwa siku nikiikuta najaribu kuiangalia ila nimeona kama ulivyosema kuwa sio viwango vya Isidingo kabisa.
 
Natoa siku moja, nikija nione members wa huu uzi mkileta updates. La sivyo sitachangia teeeena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…