Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

zipo nying mbona za huko huko south africa,,, , kuna scandal , rhythm city na nyinginezo
 
Nilianza kuifutatilia ila nikaona haifai kabisa. Haiwezi kufikia viwango vya ISIDINGO. Lungi Byela na ZEB Mathabane wapo kule
Mimi toka mwanzo nilipanga kutokuangalia ila ilikuwa siku nikiikuta najaribu kuiangalia ila nimeona kama ulivyosema kuwa sio viwango vya Isidingo kabisa.
 
Natoa siku moja, nikija nione members wa huu uzi mkileta updates. La sivyo sitachangia teeeena
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom