connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 1,736
- 2,296
ITV ipo DSTV?Hatimaye tumememaliza sasa safari yetu kwa miaka 21 dah isidingo umenipa talaka mke wangu
Safi sana ITV wamesema wanaleta uzalo soon inaanza yaani bampa to bampa kmk ITV juu..!
Halafu Lincoln pale alikufa au?