Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,456
- 1,868
Hapana Gatanga alisema alichofanyiwa ndio kitamrudia aliyetaka afanyiwe na lincoln atamjuaMasikini Nina anatia huruma mwanae Obakeng karudi hata kumuona hamuoni,sijui Mzee Lincoln kataka iwe hivyo.
Nilikusudia huyo Obakeng kurudi kipindi ambacho mama ameingiwa na upofo maana Lincoln alikuwa anataka kumuuwa Obakeng hivyo labda kamuachia ili Nina ateseke huku akishndwa kumuona mwanae.Hapana Gatanga alisema alichofanyiwa ndio kitamrudia aliyetaka afanyiwe na lincoln atamjua
Sasa atajua kuwa Nina ndio aliyetaka hivyo
Picha ndio linaanza
Yeah sijui itakuaje mbeleniNilikusudia huyo Obakeng kurudi kipindi ambacho mama ameingiwa na upofo maana Lincoln alikuwa anataka kumuuwa Obakeng hivyo labda kamuachia ili Nina ateseke huku akishndwa kumuona mwanae.
Nikajua hiyo attitude change wanayo ndugu zetu wa kiaafrika tu kumbe hata wanawake wa kizungu wana hiyo attitude change au kwa sababu wakina Lalage wameishi kwenye tamaduni za kiafrika ndio maana wamekuwa assimilatedMkuu mwanamke akipata hela na wewe huna hela utaona cha moto. Kumbuka Hendrick ameishi na Lalage muda wote Lalage akiwa house wife. Na Hendrick hakuona tatizo. Sasa imegeuka upande wa pili imekuwa nongwa.
Ila kuna wanaume wenzetu wanafaidi. Fikiria uwe na mke mzuri wa mwili tabia hadi akili type kama ya Lungi. Mwanaume utaanzia wapi kuchepuka.Nami namshangaa why
Gaby anaona kapendwa,hlf alikuwa anataka kujifanya kasahau date,maraa sechaba katokea ikabidi ajikumbushe
Mimi ndio naona leo. Tutakuwa tumefanyiwa uvamizi.Wapendwa kichwa cha habari chetu kimebadilishwa tangu lini? Naona Mada maalumu
Game haijafika mwisho. What if Nina aka recover na ku reactnimegundua kitu..
tajiri anamthamini maskini pale anapokuwa na shida naye tu (gatanga na Lincoln).
ndoa nyingi zinakuwa ndoano baada ya mke kupata kazi /pesa kumzidi mumewe (lalage Hendrick)
mwanamke ana akili nyingi inapofika kwenye swala la mapenzi (lungi, Gabriel, sechaba)
Africa haijalishi uwe tajiri au maskini tunatumia Sana Uganga,dawa za mitishamba (muti) plus kurogana.
big up gatanga umecheza Kama Pele.
Lungi inaelekea analo lakeIla kuna wanaume wenzetu wanafaidi. Fikiria uwe na mke mzuri wa mwili tabia hadi akili type kama ya Lungi. Mwanaume utaanzia wapi kuchepuka.
On top of that she is good-looking & classyLungi inaelekea analo lake
Anaonyesha mjanja au kuna kitu anataka HD
naskia atakuwa dem wa Lincoln πππGame haijafika mwisho. What if Nina aka recover na ku react
Hata mimi nilijua ni sisi ngozi nyeusi tuu mkuu.Nikajua hiyo attitude change wanayo ndugu zetu wa kiaafrika tu kumbe hata wanawake wa kizungu wana hiyo attitude change au kwa sababu wakina Lalage wameishi kwenye tamaduni za kiafrika ndio maana wamekuwa assimilated
Aiseee kweli wanaume tumeumbwa matesoooHata mimi nilijua ni sisi ngozi nyeusi tuu mkuu.
Kwa hiyo atakuwa mdangajinaskia atakuwa dem wa Lincoln
obakeng ndo anashika jahazi kwa sasa.. (zamdela's)
aah walipendana tuu kabisa si ni lungi?? au Nina..Kwa hiyo atakuwa mdangaji
Siku ile Gabriel alimuita Slay queen
Lungi huyu huyu yellow boneaah walipendana tuu kabisa si ni lungi?? au Nina..
Gabriel nae bhana eti kamuita slay queen
Ndio wanaume wengi wa kiafrika tulivyoGabriel fala sanayan ni mbabe wa kishamba