Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Masikini Nina anatia huruma mwanae Obakeng karudi hata kumuona hamuoni,sijui Mzee Lincoln kataka iwe hivyo.
Hapana Gatanga alisema alichofanyiwa ndio kitamrudia aliyetaka afanyiwe na lincoln atamjua
Sasa atajua kuwa Nina ndio aliyetaka hivyo
Picha ndio linaanza
 
Hapana Gatanga alisema alichofanyiwa ndio kitamrudia aliyetaka afanyiwe na lincoln atamjua
Sasa atajua kuwa Nina ndio aliyetaka hivyo
Picha ndio linaanza
Nilikusudia huyo Obakeng kurudi kipindi ambacho mama ameingiwa na upofo maana Lincoln alikuwa anataka kumuuwa Obakeng hivyo labda kamuachia ili Nina ateseke huku akishndwa kumuona mwanae.
 
Mkuu mwanamke akipata hela na wewe huna hela utaona cha moto. Kumbuka Hendrick ameishi na Lalage muda wote Lalage akiwa house wife. Na Hendrick hakuona tatizo. Sasa imegeuka upande wa pili imekuwa nongwa.
Nikajua hiyo attitude change wanayo ndugu zetu wa kiaafrika tu kumbe hata wanawake wa kizungu wana hiyo attitude change au kwa sababu wakina Lalage wameishi kwenye tamaduni za kiafrika ndio maana wamekuwa assimilated
 
Nami namshangaa why
Gaby anaona kapendwa,hlf alikuwa anataka kujifanya kasahau date,maraa sechaba katokea ikabidi ajikumbushe
Ila kuna wanaume wenzetu wanafaidi. Fikiria uwe na mke mzuri wa mwili tabia hadi akili type kama ya Lungi. Mwanaume utaanzia wapi kuchepuka.
 
nimegundua kitu..
tajiri anamthamini maskini pale anapokuwa na shida naye tu (gatanga na Lincoln).

ndoa nyingi zinakuwa ndoano baada ya mke kupata kazi /pesa kumzidi mumewe (lalage Hendrick)

mwanamke ana akili nyingi inapofika kwenye swala la mapenzi (lungi, Gabriel, sechaba)

Africa haijalishi uwe tajiri au maskini tunatumia Sana Uganga,dawa za mitishamba (muti) plus kurogana.

big up gatanga umecheza Kama Pele. 😂😂😂
 
nimegundua kitu..
tajiri anamthamini maskini pale anapokuwa na shida naye tu (gatanga na Lincoln).

ndoa nyingi zinakuwa ndoano baada ya mke kupata kazi /pesa kumzidi mumewe (lalage Hendrick)

mwanamke ana akili nyingi inapofika kwenye swala la mapenzi (lungi, Gabriel, sechaba)

Africa haijalishi uwe tajiri au maskini tunatumia Sana Uganga,dawa za mitishamba (muti) plus kurogana.

big up gatanga umecheza Kama Pele.
Game haijafika mwisho. What if Nina aka recover na ku react
 
Nikajua hiyo attitude change wanayo ndugu zetu wa kiaafrika tu kumbe hata wanawake wa kizungu wana hiyo attitude change au kwa sababu wakina Lalage wameishi kwenye tamaduni za kiafrika ndio maana wamekuwa assimilated
Hata mimi nilijua ni sisi ngozi nyeusi tuu mkuu.
 
Lincoln effect kazi imeanza 💪💪💪
Nina anatia huruma sana hakyanani..

halafu majola na Nina wanathibitisha ule msemo mahawara hawaachani 😂😂
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom