Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Wakati wa mahojiano polisi obakeng anaktaa kutoa ushirikiano hali inayopelekea eddie kutumia nguvu kidogo kunatokea ka ugomvi mwishowe obakeng anazimia

Nina anamlalamikia eddie kwa hali ya obakeng na kumuhaidi eddie atamuua likimpata baya mtoto wake,papa g anamtuliza nina na kumtaka aende hosp alipopelekwa obakeng.

Morogwa anamwambia gabriel hawezi ingilia shughuli za matlala,gabriel anamwambia avumilie maana kuna maziwa na asali mbelen,morogwa anasema bora ashindie chai na mkate kisha biblia atasikiliza siku ya mazisho yake ila sio kukifata kifo kwa wale watu

Nikiwe na gabriel wakipata breakfast penthouse na maongez kidogo,gab anakumbusha kuhusu kuwa na date,linc anatokea na kuuliza nn kinaendelea ila gabr anawahi inuka na kuondoka kwa excuse tele. Linc anamuuliza niki anaplan gani na gabriel,nik anamwambia wanampango wa kukaa pamoja na kuongea kuhusu kampen ya zam zama,huku akimwambia linc hana mchango kwake kimawazo.

Sechaba,lerato,Parson na aunt yao wapo wanapata breakfast huku wakiongelea masuala ya kupiga kura,aunt anamuuliza lerato alipo kamo,lerato anajibu atakua kwa obakeng maana keshachoka kwa mambo ya kamo,aunt anatoa lecture kwa lerato kuwashirikisha familia yake kuhusu tabia za kamo ila lerato anahofia kamo atavuruga mipango ya harusi yake kwao.

Kamo yupo kwwnye majonzi makubwa kwa kutoruhusiwa kumuona obakeng na kumlalamikia lerato kuhusu hali hio,ila lerato anamtaka akapumzike maana wapo eneo la biashara,kamo anaumia zaid akihisi dada yake hajali kuhusu hali mbaya ya obakeng.

Dokta beth anawa update ya afya ya obakeng akina nina,kuna swal anamuuliza nina kuhusu ugonjwa alionao obakeng tangu utotoni ila nina kashindwa kujibu na kumshangaza dokta

Ofisin kwa dr beth,eddie anaulizia hali ya obakeng huku anawasiwasi sana na kujutia nguvu ya ziada aliyotumia wakati wa mahojiano.

Aphiwe amekesha hosp kufatilia hali ya obakeng,skhu anamfata hapo hosp na kumtaka arud home,bidada anagoma ila nina anamuahidi atampa kila update ya hapo hosp.

Date ya nikiwe na gabr inakuwa shubiri kwa nik baada ya gabr kutokua serious kwa maongez na kuingiza kamzaha na umbea wa kupeleleza mahusiano ya nik na skhu. Nik anamtumia mtu sms apigiwe simu,akapigiwa simu na kupata mwanya wa kumtoka gabriel.

Eddie anarud kwake kubadili nguo kisha kuelekea kufatilia hali ya obakeng,mkewe anakasirika maana haoni umuhimu wa eddie kuwa nawasi wasi kwa afya ya mtu mkorofi na kumtaka akumbuke kuspend time na familia badala ya kazi muda wote

Obakeng amekutwa na ugonjwa kwwnye ubongo,lugha ya kidaktar inawachanganya akina papa g na kuomba ufafanuz wa kueleweka,baada ya kuambiwa kuna tatizo la ubongo pia matumain ya kupona yapo lawama inahamia kwa eddie aliyekuwepo eneo hilo,nina anamtishia eddie atamshtaki kwa ubaguzi aliouonesha.

Gabriel anaenda penthouse kumuulizia nikiwe kama yupo,secretary(secretary mzuri)anajibu hajarudi,gabr anasogoa hapo wee kuhusu uchaguzi na umuhimu wake

Sechaba na Parson wapo shebeen wanapata kinywaji,lerato anawakuta na kuanza malalamikia sechaba kusahau kwemda nae kufatilia masuala ya ukumbi,parson anamtetea sechaba

Charlie anamueleza brad kuhusu hali ya obakeng ila brad haonyesh kujali na kuona hali ya kawaida
 
neno wewe mjinga,huna akili kisa sina mawazo sawa na nyie majukwaa mengine nimeshalizoea tafuteni jipya(ujumbe huu ni kwa wote wasiopenda ninachochangia majukwaa mengine)

Mnanipa kiki sana huko kunitangaza natoa update za isidingo,soon nawaachia jukwaa lenu nivumilieni tu mwisho mwezi huu.

Mama vp tena? Usiachie mwezi huu please! Nani hao wasiojielewa jamani wanatuchokozea Numbisa wetu?
 
Aphiwe ana wasi wasi kuhusu afya ya obakeng mpaka anakosa umakin katika kumtengeneza kucha mteja,lerato anampa moyo asiwe na wasi wasi ila kamo anamshangaa kuwa kwwnye hali hio wakati siku ya tukio aphiwe hakuwapa sapoti pale walipofukuzwa ukumbini

Eddie ana wasi wasi juu ya afya ya obakeng na kujilaumu kwa yote yaliyotokea,mkewe anampa moyo kuwa hana kosa hapo kosa ni la obakeng kwa kufanya fujo. Bado eddie hana amani

Gabriel anaenda mtafuta nina nyumban kwao na kumkuta papa g,gabr anamchongea matlala kwa papa g kuwa anamzibia nafasi kwenye kampen ya zama zam. Papa g anaahidi kumsaidia ila kwa shart faida ionekane

Baada ya kutoka kwa papa g,akiwa room kwake,gabriel anamdanganya morogwa kuwa papa g anamfaham na anajua ni mtu wake,kisha anamtumia morogwa kumtisha matlala,morogwa bila kujua kuwa anadanganywa anajiapiza kumshughulikia matlala

Morogwa anamkuta matlala shebeen na rafiki zake,anamtaka matlala waongee chwmba,jamaa anawatoa wenzake kisha morogwa anakaa na kuanza mwambia kuna spy kwwnye team yake,matlala ili kutaka kujua zaid anamsogelea morogwa,bidada anamchoma kisu cha mbavu sijui tumbon pale na kuondoka,matlala akiwa na maumivu anainuka akilalamika,watu wake kuona hivyo wakaanza mkimbiza morogwa.

Lerato anawaza harusi matawi juu,talk of the town,ana mipango wageni wakija wafikie sehemu nzuri kama hotelin,chakula kiwe cha juu,magauni ya kuvaa siku hio yawe kama sita,pia anataka wedding planner sio kila kitu apange yeye,zukisa na kamo wanabaki hawana cha kumshauri maana kila wakimshauri anawaona washamba.

Kamo anamfata aphiwe na kumuomba msahama kwa kumsema salun ila aphiwe anakataa na kumlaum kamo kuwa kasababisha yote mpaka obakeng kaishia hosp

Lerato anaangalia kwa simu picha za harus ya parson na kutaman mengi hasa gauni,sechaba anatoa angalizo harusi ni harusi tu ila bajeti yao isiongezeke,wakati huo huo kamo anamwomba sechaba ampeleke hosp,both sechaba na lerato wanamshut kwa kumwambia jamaa yupo na ndugu zake hivyo kamo hana umuhimu huko.

Nina yupo wodin kwa obakeng,beth anampa matumain kuwa kijana wake ataamka ndani ya masaa 24 ila wanahitaji kujua mengi hasa magonjwa ya obakeng utotoni,nina anasema hajui kitu. Dokta anaondoka.

Nina yupo busy kutake care kwa kijana wake ambaye hana fahamu,mara anakaa kitandan hapo na kuanza kutoa story hizi na zile mara obakeng anafumbua macho,nina anafurah na kumuuliza kama anajua hapo ni wapi,obakeng anajibu kwa kuangalia mazingira ni hosp,nina anauliza swali jingine kuwa kama kwel karudiwa fahamu je yeye(nina)ni nani kwake,obakeng anajibu my crazy mother,nina anafurahi sana na kumkumbatia kijana wake kisha anaita dokta

Matlala na gang yake kwa fujo wanaingia geto kwa gabriel na kuanza msaka gab na morogwa mara papa g na gabr wanaingia,papa g anampa vitisho matlala na kumtaka anapatane na gabriel kwa kushake hands(wanashikana mikono)kisha matlala anaondoka. Gabriel akizan kawa juu,papa g anamuonya atamtimua na yeye
 
Wengi tu,wanajiona wajuaji sana. Kujuana jukwaa hili isiwe mwanzo wa kupangiana cha kupost comment majukwaa mengine.

Daah kuna watu hawana ustaarabu kabisa,ni vizuri kubishana bila kuitaja isidingo.

Duh pole mamy sema watu hatufanani potezea tu washavurugwa hao! Btw asante kwa updates!
 
Sante dear kwa updates
 
Wengi tu,wanajiona wajuaji sana. Kujuana jukwaa hili isiwe mwanzo wa kupangiana cha kupost comment majukwaa mengine.

Daah kuna watu hawana ustaarabu kabisa,ni vizuri kubishana bila kuitaja isidingo.
Pole lkn naomba usiache kutupa updates plz
 
neno wewe mjinga,huna akili kisa sina mawazo sawa na nyie majukwaa mengine nimeshalizoea tafuteni jipya(ujumbe huu ni kwa wote wasiopenda ninachochangia majukwaa mengine)

Mnanipa kiki sana huko kunitangaza natoa update za isidingo,soon nawaachia jukwaa lenu nivumilieni tu mwisho mwezi huu.

Ungelizoea usingetoa povu hapa
 
Aphiwe ana wasi wasi kuhusu afya ya obakeng mpaka anakosa umakin katika kumtengeneza kucha mteja,lerato anampa moyo asiwe na wasi wasi ila kamo anamshangaa kuwa kwwnye hali hio wakati siku ya tukio aphiwe hakuwapa sapoti pale walipofukuzwa ukumbini

Eddie ana wasi wasi juu ya afya ya obakeng na kujilaumu kwa yote yaliyotokea,mkewe anampa moyo kuwa hana kosa hapo kosa ni la obakeng kwa kufanya fujo. Bado eddie hana amani

Gabriel anaenda mtafuta nina nyumban kwao na kumkuta papa g,gabr anamchongea matlala kwa papa g kuwa anamzibia nafasi kwenye kampen ya zama zam. Papa g anaahidi kumsaidia ila kwa shart faida ionekane

Baada ya kutoka kwa papa g,akiwa room kwake,gabriel anamdanganya morogwa kuwa papa g anamfaham na anajua ni mtu wake,kisha anamtumia morogwa kumtisha matlala,morogwa bila kujua kuwa anadanganywa anajiapiza kumshughulikia matlala

Morogwa anamkuta matlala shebeen na rafiki zake,anamtaka matlala waongee chwmba,jamaa anawatoa wenzake kisha morogwa anakaa na kuanza mwambia kuna spy kwwnye team yake,matlala ili kutaka kujua zaid anamsogelea morogwa,bidada anamchoma kisu cha mbavu sijui tumbon pale na kuondoka,matlala akiwa na maumivu anainuka akilalamika,watu wake kuona hivyo wakaanza mkimbiza morogwa.

Lerato anawaza harusi matawi juu,talk of the town,ana mipango wageni wakija wafikie sehemu nzuri kama hotelin,chakula kiwe cha juu,magauni ya kuvaa siku hio yawe kama sita,pia anataka wedding planner sio kila kitu apange yeye,zukisa na kamo wanabaki hawana cha kumshauri maana kila wakimshauri anawaona washamba.

Kamo anamfata aphiwe na kumuomba msahama kwa kumsema salun ila aphiwe anakataa na kumlaum kamo kuwa kasababisha yote mpaka obakeng kaishia hosp

Lerato anaangalia kwa simu picha za harus ya parson na kutaman mengi hasa gauni,sechaba anatoa angalizo harusi ni harusi tu ila bajeti yao isiongezeke,wakati huo huo kamo anamwomba sechaba ampeleke hosp,both sechaba na lerato wanamshut kwa kumwambia jamaa yupo na ndugu zake hivyo kamo hana umuhimu huko.

Nina yupo wodin kwa obakeng,beth anampa matumain kuwa kijana wake ataamka ndani ya masaa 24 ila wanahitaji kujua mengi hasa magonjwa ya obakeng utotoni,nina anasema hajui kitu. Dokta anaondoka.

Nina yupo busy kutake care kwa kijana wake ambaye hana fahamu,mara anakaa kitandan hapo na kuanza kutoa story hizi na zile mara obakeng anafumbua macho,nina anafurah na kumuuliza kama anajua hapo ni wapi,obakeng anajibu kwa kuangalia mazingira ni hosp,nina anauliza swali jingine kuwa kama kwel karudiwa fahamu je yeye(nina)ni nani kwake,obakeng anajibu my crazy mother,nina anafurahi sana na kumkumbatia kijana wake kisha anaita dokta

Matlala na gang yake kwa fujo wanaingia geto kwa gabriel na kuanza msaka gab na morogwa mara papa g na gabr wanaingia,papa g anampa vitisho matlala na kumtaka anapatane na gabriel kwa kushake hands(wanashikana mikono)kisha matlala anaondoka. Gabriel akizan kawa juu,papa g anamuonya atamtimua na yeye
Asante sana....
 
Ukisikia yalaa ujue limempata mhusika naona umejileta,bado genious mwenzio hajajileta ila anasoma kimya kimya

Sina haja ya kuzoea,nizoee upuuzi wako pole sana kijana kama ulidhan unanifahamu sana basi umekosea

Ungelizoea usingetoa povu hapa
 
Ukisikia yalaa ujue limempata mhusika naona umejileta,bado genious mwenzio hajajileta ila anasoma kimya kimya

Sina haja ya kuzoea,nizoee upuuzi wako pole sana kijana kama ulidhan unanifahamu sana basi umekosea
Kafie mbele uko!! Cheap popularity ndo unatafta huna lolote..... so kulileta humu ndo unatafta huruma ya watu au...?
akili ndogo

Kusifiwa na viji qpdate vyako ushajiona star ?
Mmeo ndo anapaswa akubembeleze sio .....
 
Waoow kama ni mwanaume wewe utakua shoga yangu kabisa una maneno kuntu.

Cheap popularity anaitafuta mange na nyie misukule yake kutaka kumchangia hela hahaha pole shosti

Back
Top Bottom