Walikua polis kuonyesha kakubaliana nao ikuwa Ni self defence kawaambia kuwa ikisikika kuwa Kuna mtu kauawa nyumban kwa cal itakua kasema mtu mwingine Na sio yeye EddieHaja achiwa bhana. Umeona kwy tivii ipi?
Mbona Ms Scott ana lalama yuko lupango??
Ni kweli.Walikua polis kuonyesha kakubaliana nao ikuwa Ni self defence kawaambia kuwa ikisikika kuwa Kuna mtu kauawa nyumban kwa cal itakua kasema mtu mwingine Na sio yeye Eddie
Lengo Ni ku create attention na kupeleka taarifa kwa Linc ,the way Angelique alivyokua anamuambia Tyson ,Linc alikua kadata akabak anajikanyaga Tu haelewik anaongea niniNi kweli.
Imekuaje sasa Ms Scott kaenda kulalama kwa Lincoln na Tyson kama walikubaliana yaishie kwao watatu?
Madudu gani maana sikuona. Tell me plzKumbe Tyson nae ana madudu yake. Gabriel yuko katika situation ngumu sana janjajanja yote mfukoni
Alitumia njia chafu katika harakati zake za ubunge then Barker anazijua kwenye press conference akajitokeza kuuliza swali, Tyson akabaki kapigwa bumbuwazi.Madudu gani maana sikuona. Tell me plz
Hata mimi ya jana sikuiona! Watu wamekuwa adimu ku update humu!Naombeni kujua yaliyojiri leo
Watu wanaweka sawa kumbukumbu za biashara zao , wasije wakaitwa central police station kutoa maelezo.Hata mimi ya jana sikuiona! Watu wamekuwa adimu ku update humu!
Yani ni tamu usipimeKila siku inakuwa tamu hii isidingo
leo nikiwe na boy wake wamerudi
Lincoln akipata taarifa, hakawii kutoa order ya kum eliminate Morongwa.Mwanzo wa mwisho wa Lincoln, Morongwa ameokota diamond ring huko shaft 8
Nilimmiss Nikiwe mno.Kila siku inakuwa tamu hii isidingo
leo nikiwe na boy wake wamerudi
Duh jmn can't wait to see it!! Nipo mbali na tv jmn