Mada maalum: Kuelekea tarehe 01/06/2019 | Nini mbadala wa mifuko ya plastiki?

mttupolli

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
456
500
Nawakumbusha tu,
Chumvi,
sabuni za unga,
Diamond karanga,
biscuit,
karanga,
ic krem,
maji ya drip ya kufunga(kandoro),
HIZI ZOTE NI BIDHAA ZINAZITUMIA MIFUKO YA PRASTIKI TUJI TAARISHE KUSAHAU
nimimi wenu mpendwa katika maendeleo ya kujenga taifa
Mr, a. k. kusawa. Ahsanteni.
 
Timiza

JF-Expert Member
Nov 29, 2017
5,139
2,000

[/QUOTE
Tutafungia majani ya mgomba,yule atabatikisha ngoja tusubiri
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,396
2,000
Sidhani kama serikali imefanya utafiti wa kutosha juu ya hii kadhia kwani siku chache na bado hatujaona mifuko mbadala.

Kitakachotokea ni hiyo mifuko kuuzwa kwa magendo na njia za rushwa kuongezeka kwasababu tayari itakuwa ni miongoni mwa biashara haramu yenye manufaa kwa watumiaji na faida ya mapato kwa watengenezaji na wasambazaji.

Zoezi la kuzuia hiyo mifuko halina tija kulingana na wakati huu wa maendeleo ya kijamii.

Ilitakiwa serikali iwafundishe watu namna bora ya matumizi ya hiyo mifuko bila kuleta athari za kimazingira kwa kuharibiwa inavyostahili.
Nina wazo kama hili lakini nani wa kutusikiliza
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,105
2,000
Habari JF.
Kama mjuavyo tarehe 01/06/19 ndiyo mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastiki humu nchini.
Je ni upi mbadala wa mifuko hii ili kutoleta adha kwa wafanyabiashara na wateja ktk maeneo mbalimbali?
Je serikali yetu tukufu na sikivu imejipanga vipi kutatua changamoto zitokanazo na marufuku hii?
Karibuni.
Baada ya kulipuka kinu cha nuclear Japan, German imepiga marufuku vinu hivyo ifikapo 2025. Wenye vinu watalipwa fidia ya mitaji yao.
 
Perth

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
3,446
2,000
Hivi hadi CONDOM Zitazuiwa e maana ni mifuko ya plastic ile au zinaozaga watumiaji watujuze
 
reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,836
2,000
sijui kwa nini kila nikiona hizi habari nawaza wale wenzetu wa kwenye mabasi wa mhhhhhhh! Mhhhhhhh mhhhhhh pta pta pta ptaaaaa ptaaaaaaaaa prraaaaaaaaa, sasa ole wako ukae nyuma dirishani, unafka ubungo umepambwaaa
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,396
2,000
sijui kwa nini kila nikiona hizi habari nawaza wale wenzetu wa kwenye mabasi wa mhhhhhhh! Mhhhhhhh mhhhhhh pta pta pta ptaaaaa ptaaaaaaaaa prraaaaaaaaa, sasa ole wako ukae nyuma dirishani, unafka ubungo umepambwaaa
aaaaaahhhhhhaaaaa
 
pandagichiza

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
4,037
2,000
Sidhani kama serikali imefanya utafiti wa kutosha juu ya hii kadhia kwani siku chache na bado hatujaona mifuko mbadala.
Kitakachotokea ni hiyo mifuko kuuzwa kwa magendo na njia za rushwa kuongezeka kwasababu tayari itakuwa ni miongoni mwa biashara haramu yenye manufaa kwa watumiaji na faida ya mapato kwa watengenezaji na wasambazaji.
Zoezi la kuzuia hiyo mifuko halina tija kulingana na wakati huu wa maendeleo ya kijamii.
Ilitakiwa serikali iwafundishe watu namna bora ya matumizi ya hiyo mifuko bila kuleta athari za kimazingira kwa kuharibiwa inavyostahili.
Mifuko hii haikuwepo na tuliishi tu bila kupata tabu yoyote. Kulikuwa na mifuko ya karatasi ngumu za kaki
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,760
2,000
Mifuko hii haikuwepo na tuliishi tu bila kupata tabu yoyote. Kulikuwa na mifuko ya karatasi ngumu za kaki

Ni kweli hata zamani tulikuwa tukisafiri kwa treni ya kuni, ikaja ya makaa ya mawe, ikaja ya diesel (dizeli) na leo tunakwenda kwenye SGR---- basi leo turudi kwenye treni ya kuni kama ilivyokuwa zamani hakuna shida tu!!

😁😁
 
Luushu

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
797
500
Na ukizingatia tunaelekea kwenye uchaguzi wa mitaa kisha uchaguzi Mkuu mwakani kubadilisha gia hewani ili kupata kiki inawezaekana,mfano mzuri kwenye tinted na vikokoto
Ni kweli katani, kama wazalishaji wa katani wanaweza kuliona hilo ombwe basi hii itakuwa fursa nzuri kwao kwa sababu ni moja kati ya vifungashio vizuri kwa bidhaa kavu. Kwa upande wa bidhaa zenye asili ya majimaji kutakuwa na mtihani kidogo lakini binaadamu haishiwi fikra kila tatizo lazima ufumbuzi utafutwe.
ANGALIZO: Ifikapo hiyo siku usije shangaa kiongozi mkuu akabatilisha hilo jambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom