Game lilianza pale tuliposikia uteuzi mpya wa waziri wa Elimu akapitishwa mama yetu (waziri wa Elimu). Siku moja nipo shule nilishtuka taarifa ya Waziri huyo akihoji GPA ni nini mashuleni? Baada ya mda kidogo tulisikia tetesi kuwa zimefutwa mpaka tulipoletewa Grade mpya shuleni kwetu. Ikumbukwe sie Form four 2013 tulipita kwa GPA ikatakiwa tujifue ili mradi tufikie Grade hizo mpya.
Baada ya hapo tulisikia tetesi kuwa wenye one na two pekee ndio watakaopata chuo na mikopo vilevile. Hili jambo lilituumiza sana, si Science wala Arts tu. Baadae kidogo tulizoea hizo grade kwa misuli ya kukesha usiku na mchana (popo) si unajua shule zetu za kata bila msuli unaweza ukaambulia patupu.
Mungu si Athuman tulifanya vizuri tulio wengi katika Grade zinazotakiwa na kujipa Imani Chuo lazima. Tumeanza sakata la kutafuta pesa kulipia TCU na HESLB binafsi nilifanikiwa na kutuma fomu zote kwa wakati. Baadae Wanachuo wenzangu(ndotoni) tulitemwa katika round ya kwanza japo kuna wengine walipata. Tukaapply awamu ya pili na wengine mpaka ya tatu.
Hatimaye Bodi ya mikopo ikaja na vigezo vipya vya utoaji wa mikopo huku ikitanguliza majina 3000+ tu. Tukaachwa tena, no direct cost. Ila nauli tu mkononi ya kwenda kutalii chuo.
Ndugu zangu wanachuo(ndotoni) mkopo umekua kama mchezo wa Ku-Bet
hasa mbaya kwa ndugu zangu wa Arts. Je Tanzania ya viwanda haihitaji kabisa wana-Art?
Si hayo tu ndugu zangu wa science pia Full death and disability attachment ila wametupwa kule. Eti wanaangalia "means test" ila sisi binafsi tunajua sana hali zetu za maisha kuliko hiyo means test.
Ikumbukwe hiyo ni mikopo sio msaada na ni haki yetu kwani ni kodi za walalahoi wa Tanzania.
Mungu atusaidie katika hili kama si hivyo tutakua tulifaulu tu kwenda vyuoni na tukabaki kuwa wanavyuo waliopo nyumbani.
Mwisho kabisa tujipe imani na tuendelee kusugua bench!
Umenikumbusha mbali Sana mi nimejiendea diploma ya medicine laboratory bora njilipie tuuMnaolalamika mkopo kumbukeni lowasa alisema kipaumbele cha kwanza elimu ..cha pili elimu. cha tatu elimu....halafu mkamwona boya .....kufeni dhiki yenu...
Karibu sanaAmbaye ameripoti st John Dodoma jana atujuze mambo yanavyokwenda maana wengine boom limegoma
Duuu... We mtu umenichefuaWe kwel ******,,,,,wabebwe female af vidume nao????unajua hi kaul mbiu ya girls first inawaduza nyie wakike??sas wakufavour ww wakike kwakua unamavuzi ya stil waya??acha uduanz wew kila mtu apewe haki yake...kama unataka wakufavour wew njo geto kwang nikufavour mim,,,maninaaa.....nakama we ni dume umetoa hili oniiiii naona upimwe oil wew
Mimi nahitajii chumba chenye choo ndan,,,kama unacho au unajua mtu anacho ila kisiwe mbagala wala tegeta na viunga vyake,,,either mabibo,,,,tabata au mbez mwisho,,,,nicheki kupita namba...0655184593 wasap namb au bip ntakupigiaa
Naitaj kuhusika bandika contact tuelewaneCHUMBA MABIBO HOSTEL KIPO / kulala mwenyewe au kubebwa (Bei maelewano)