Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,582
- 6,627
Habari waungwana,
Kama tujuavyo, Bodi ya mikopo nchini imeanza kutoa majina ya waliobahatika kupata mikopo ikiwemo na tangazo linaloelezea mikopo inatokaje mwaka huu.
Wengi wamekumbwa na sintofahamu, wengine wamekata tamaa na kadhalika. Naamini humu kuna wazoefu wengi ambao wameshapitia, wengine ni wadau wa elimu hivyo kuwa na uelewa wa kinachoendelea na wengine wadau wa bodi ya mikopo.
Kwa pamoja tujadili kilichopo na kitachofata kupitia mada hii, Asanteni.