Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

kuna site inaitwa modemunlocker.net ila inazingua ads nyingi ujaribu hii ina modem zote
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii

Zamani ilizoeleka ku-unlock Modem hadi udownload Software kwenye Pc yako kisha ya watu ndo waweze kugenerate MODEM
UNLOCK CODE. Lakini kwa sasa imekuwa rahisi kwa sababu kuna tovuti kibao ambazo zinatoa MODEM UNLOCK CODE ambayo wewe unahitajika kutoa IMEI ya
MODEM tu.

Hatua za ku-unlock Modem

1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi

2.Fungua link hii A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATOR

3.Baada ya kufungua hiyo link utaonasehemu ya iliyoachawa wazi hapo uwekaIMEI ya Modem kisha utabofya kwenyekitufe cha CALCULATE

4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Codezako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK =
37663240

Hatua zinazofuata

1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card
na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano
kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwauweke Airtel kisha chomeka kwenye PC
yako .
2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekujakisha itaku-request for Unlock Code, KishaUtaingiza Code ulizo Generate , mfano
37661250 alafu click kwenye OK.

3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwahapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!

Note:
Njia hii ni kwa Modem za Huawei tu

Kwa habari mbalimbali za teknolojia maujanja......Tembelea BONGO TECHNO

MKUU ASANTE SANA MODEM YANG IMETINGA NI SIMPLE KAMA ABC
 
Msaada wataalamu...

Jinsi ya kuset wi-fi iwe out kwenye modem ambayo iko connected na switch na pc km 4 hivi (networking)
Nafanyaje.

Kuna siku nliona jamaa wa it aliingia kwenye moja ya pc online akaenda sehem akaitoa wi fi... Ila sikumbuki step.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii

Zamani ilizoeleka ku-unlock Modem hadi udownload Software kwenye Pc yako kisha ya watu ndo waweze kugenerate MODEM
UNLOCK CODE. Lakini kwa sasa imekuwa rahisi kwa sababu kuna tovuti kibao ambazo zinatoa MODEM UNLOCK CODE ambayo wewe unahitajika kutoa IMEI ya
MODEM tu.

Hatua za ku-unlock Modem

1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi

2.Fungua link hii A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATOR

3.Baada ya kufungua hiyo link utaonasehemu ya iliyoachawa wazi hapo uwekaIMEI ya Modem kisha utabofya kwenyekitufe cha CALCULATE

4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Codezako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK =
37663240

Hatua zinazofuata

1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card
na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano
kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwauweke Airtel kisha chomeka kwenye PC
yako .
2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekujakisha itaku-request for Unlock Code, KishaUtaingiza Code ulizo Generate , mfano
37661250 alafu click kwenye OK.

3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwahapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!

Note:
Njia hii ni kwa Modem za Huawei tu

Kwa habari mbalimbali za teknolojia maujanja......Tembelea BONGO TECHNO
Hapo bado unatumia software ya huko kwenye sever
 
Poa.
Nilipata firmware kwenye site nyingine lakini zote zilikuwa zinadunda kuingia download mode ila kwa msaada wa DC unlocked sekunde chache tu kitu kimekubali.
Utamu wa wingle unaichomeka tu kwenye powerbank au charger ya simu then mnakula wifi 24/7 muhimu tu bundle liwepo
 
Nimehangaika vya kutosha nina kazi ya kudownload kila aina ya firmware na ku update bila ya mafanikio naomba msaada jaman nipeni njia ya usahihi....nimepitia post mbali mbali lakin haikusaidia ...
 
Back
Top Bottom