Mada chokozi: Ni website gani nzuri ambayo inamilikiwa na Watanzania

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Habarini waungwana,

Rejea mada hapo juu nimeamua kuanzisha huu uzi kuona namna ya kujua ni website ipi ambayo inamilikiwa na Watanzania kwa maana Tanzanian startups

Duniani tumeona Luna website nyingi tu ambazo ni mfumo
Mfano
Homeaway.com
Airbnb.com
Zillow.com

Ambazo zimepitia viwango vyote vya design na kila kitu je kwa hapa nchini kuna website yeyote ambayo ina viwango vinavyotakiwa

Zipo website ambazo zinaonekana bora kama Millard ayo, bongo 5, websites za makampuni ya simu ila je ni bora

Naomba wadau leo tujikite kujadili websites za Tanzania na kujua changamoto zao kaa ujumla
 
Mkuu, kiukweli kwa maoni yangu, ni HAKUNA website kali sana ya kibongo, kwa sababu

Website zilizo nyingi za kibongo, ni au zimenunuliwa kule themeforest.com , ama ni za free za WP

Website nyingi za kibongo zilizotengenezwa from scratch ni lazima ziwe za bootstrap au MDB, lakini website kali kabisa isiyo na element ya library yoyote hakuna!!

Kuna mwaka flani mtandao wa awwwards.com iliwahi kuitaja website ya killing kenedy kutoka nat geo kuwa ndio website nzuri sana!!

Peace!!
 
Sijaelewa, unazungumzia kuhusu design au?
 
Hizi ndizo sababu.

#kutokuwa na muda wa kumuhudumia mteja ila wewe kama mtengenezaji wa website unataka hela

#Uku kwetu kutokujua kujieleza juu ya biashara ambayo kwa hiyo utatengenezewa website yaani haujielewi ni tatizo pia, UI nI watu na watu ni detail ya UI nisipowajua watu Unaowalenga nimekosa details za UI hapo ndipo ninapokuja na vitu visivyo.

#Watengenezaji Hawako kujibrand wako kula pesa sana ni tofauti na wengine yaani ni chap chap.

Haya sasa za serikali zina mlolongo wake, yaani pale ukiwa na solution lazima ipitie mlolongo huo. Kifupi niseme tu wale watu wanalaumu sana IT Professionals wa serikali, kwa kuwa wao ni wateja ama wafanyakazi wenzao watambue kuwa hawa jamaa hawafanyi kazi bila ruksa, ukiona kimya jua hakuna ruksa.

Wapo watu wametuma sana proposal kufanya marekebisho ila hakuna majibu kwa hiyo ni hivyo.

Nb, kazi yoyote nzuri iliyofanywa kwa upande wa web development inategemea na wingi au uchache wa details zilizotolewa na uwezo wa kufikiri na kuamua kipi kiwe kipi, na sio tu kwa sababau kimepewa document inayoelezea shirika flani basi nakopy na kupaste bila bila kurahisisha lugha iliyotumika, hapo ndo watu utengeneza vitabu badala ya website.
 
Okay tuweke kwenye categories mbili

Category ya kwanza website nzuri in term of designs ambayo imekuwa coded from scratch

Category ya pili website nzuri in term of design ambayo imechukuliwa themeforest
Mbona ziko nyingi sana sijajua unazungumzia za category ipi
 
Swali kwanini hatuna websites from scratch???
Mkuu, kiukweli kwa maoni yangu, ni HAKUNA website kali sana ya kibongo, kwa sababu

Website zilizo nyingi za kibongo, ni au zimenunuliwa kule themeforest.com , ama ni za free za WP

Website nyingi za kibongo zilizotengenezwa from scratch ni lazima ziwe za bootstrap au MDB, lakini website kali kabisa isiyo na element ya library yoyote hakuna!!

Kuna mwaka flani mtandao wa awwwards.com iliwahi kuitaja website ya killing kenedy kutoka nat geo kuwa ndio website nzuri sana!!

Peace!!
 
Mimi sio mtaalamu wala sijui haya mambo ya website
Lakini ninachojua kwa hakika ni kwamba website kama sio zote za kiserikali ni mbovuuuuuuuuuu
 
Mkuu, kiukweli kwa maoni yangu, ni HAKUNA website kali sana ya kibongo, kwa sababu

Website zilizo nyingi za kibongo, ni au zimenunuliwa kule themeforest.com , ama ni za free za WP

Website nyingi za kibongo zilizotengenezwa from scratch ni lazima ziwe za bootstrap au MDB, lakini website kali kabisa isiyo na element ya library yoyote hakuna!!

Kuna mwaka flani mtandao wa awwwards.com iliwahi kuitaja website ya killing kenedy kutoka nat geo kuwa ndio website nzuri sana!!

Peace!!
Sioni tatizo lolote tovuti kuundwa kwa kutumia library.
Sio rahisi kujaribu kuunda kila kitu from scratch.

Mtoa mada amelist moja ya tovuti nzuri ni airbnb.
Ukiangalia html codes ya airbnb utaona wametumia reactjs kwa ajili ya user interface.
Capture.JPG

Haijarishi third part library imetumika au la, kitu cha muhimu ni architecture inayozingatia UI/UX nzuri na product inayotoa majibu ya kile mtumiaji (Mlengwa) anachokitafuta.

Google ni kampuni kubwa ila android pia inatumia third part libraries kama OPEN GL kwa ajili ya graphics, OpenMax kwa ajili ya audio, SQLITE kwa ajili ya database, FreeType kwa ajili ya text nk.

Ila tukija kwenye swali mtoa mada, Tovuti nyingi za tanzania ni blog based (blogger au wordpress) ambazo zinatumia template za kununua au bure sio za kutengeneza from scratch, mfano hizo millardayo bongo 5 ni wordpress.

Za serikali hapa TZ hutumia joomla.
Zichunguze tovuti za WaTZ zenye watembeleaji wengi utagundua hilo.
Alexa - Top Sites in Tanzania - Alexa

pia hata baadhi wanaouza system hutumia codes za codecanyon.
 
So the point is hakuna website iliyotengenezwa from the scratch..

However sioni binafsi kama kuna ubaya kwa wamiliki wa websites kuanza kutumia themes za themeforest lakini pia kuna Haja biashara zikiwa kubwa ku re-design the website kwa ku hire best developers kuandika from scratch sema shida inakuja kuwa most of Tanzanian developers sio wazuri sana kuandika from the scratch..

Na kuwapata hao wazuri ni mbinde
Sioni tatizo lolote tovuti kuundwa kwa kutumia library.
Sio rahisi kujaribu kuunda kila kitu from scratch.

Mtoa mada amelist moja ya tovuti nzuri ni airbnb.
Ukiangalia html codes ya airbnb utaona wametumia reactjs kwa ajili ya user interface.
View attachment 1546637
Haijarishi third part library imetumika au la, kitu cha muhimu ni architecture inayozingatia UI/UX nzuri na product inayotoa majibu ya kile mtumiaji (Mlengwa) anachokitafuta.

Google ni kampuni kubwa ila android pia inatumia third part libraries kama OPEN GL kwa ajili ya graphics, OpenMax kwa ajili ya audio, SQLITE kwa ajili ya database, FreeType kwa ajili ya text nk.

Ila tukija kwenye swali mtoa mada, Tovuti nyingi za tanzania ni blog based (blogger au wordpress) ambazo zinatumia template za kununua au bure sio za kutengeneza from scratch, mfano hizo millardayo bongo 5 ni wordpress.

Za serikali hapa TZ hutumia joomla.
Zichunguze tovuti za WaTZ zenye watembeleaji wengi utagundua hilo.
Alexa - Top Sites in Tanzania - Alexa

pia hata baadhi wanaouza system hutumia codes za codecanyon.
 
So the point is hakuna website iliyotengenezwa from the scratch..
Sio kweli zipo, hata humu jamiiforums kuna memba alikuwa na tovuti ya kuuza hadithi inaitwa storika kama sijakosea. Labda mi sielewi unavyosema "SCRATCH" unamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom