Mr dark light
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 298
- 253
Itakuw wote mnaringa, wote mnajiona bora kuliko mwenzake, wote wanafiki, chukua namba wasiliana nao siyo kipindi cha harusi mnatafutanaHabari wakuu,
Nimekuwa nakutana na watu wengi niliosoma nao na kupiga stori kadhaa lakini cha ajabu hakuna anayemuomba mwenzie namba ya simu.(hana nadhani kila mmoja anamwangalia mwenzie kuwa huyu tukibadilishana namba tutaongea nini? hivyo hakuna haja)
Kuna mmoja tulibadilishana , lakini hakuna aliyewahi kumtafuta mwenzie ila njiani tunaonana na kusalimiana kama kawaida.
Je vigezo vipi unatumia vinavyokufanya huyu kuna umuhimu wa kupeana namba na huyu hakuna?
Sent using Jamii Forums mobile app