Machungu ya kukosa ajira

Bora uangukie chaputa lakini usowe mraibu wa pombe/sigara/bangi/ngada ...

Hizi mambo ndo zinpoteza jobless wengi sana aisee, stress zinamaliza sana watu.

Mtu anaona haikua na maana ya yeye kusoma, na hii kitu itaathiri elimu ya watoto siku za mbeleni.
 
Sure mkuu inafika hatua unaona haikua na maana ya kupoteza muda kusoma, alafu utakuta mtu kaajiliwa na ajira yenyewe kaipata kwa connection au hawamu za kikwete na mkapa ambapo kupata ajira ilikua kitonga anakwambia lengo la shule ni kuelemika tu au jiajiri., mwambie aache ajira atumie elimu yake kutengeneza fursa au ajiajiri zinaanza siasa
 
Ninapopitia nyakati ngumu kama hizi watu wanaonizunguka huwa wananionea huruma sana lakini huwa nawaambia "hizi tabu mnazoziona kitambo tu zitabaki historia,kazeni roho. Kuna maana kubwa sana ambayo ninyi hamuioni ya mimi kupitia haya!"
 
Acha kabisa mkuu donda la kukosa kipato ni kubwa kwa sasa.

Kujiajiri kuna changamoto sana sana.
 
Wangejua wanavyouzi ..wangekaa kimya tu
 
pole sana..haya maisha haya ni mengi tunakutana nayo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Bank bila dhamana ya nyumba utoboi...Mimi nimekwenda Crdb na NMB bank ,kote dhamana wanataka.
Dhamana ya nyumba pia wakati huo uwe na biashara hawakupi hivi hivi kama hawajachungulia miamala yako ya kibenki kupitia biashara uliyonayo.

#MaendeleoHayanaChama



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
 
Kabisa ni ufala Sana mtu unapoteza 20+ godamn years kwenye academics halafu uje uwe muuza karanga barabarani ni us£nge WA Hali ya juu Sana ,No way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…