Jibu zuri sanaMbona hiyo ni kawaida tu. Hata Marehemu Kanumba nyomi ilikuwa ni kama hivyo tu.
Halafu kwenye misiba huwa wanahudhuria watu wote hata wale wabaya wako watakuja kuhakikisha kama umededi kweli ili wasuuzike na roho zao.
Swali lako lilikua general sana. Sorry!Nashukuru umejibu kistaarabu mama yangu hakukuuliza swali pia ameshatangulia mbele za haki. Mimi siwezi kumuhususha mama yako kwenye huu upuuzi WA mitandao.
Nenda kampigie kura basi
Mnahamisha magoli 🤣kumlilia mtu ni kumlilia tu iwe kwa kiwango hiki cha magufuli, iwe kwa kuigiza au kulia kwa kunung'unika kimyakimya.
UFIPA,mmebaki na aibu na sononi.Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
Umefanya wewe kwa waganga wako wa kienyeji ili upate kuendelea kuuza upuuzi wakoUnaongea utadhani chadema ndio wanachikua nchi, bado ni sisiemu ile ile inawakimbiza.
Vipi mkuu, hujafanya sherehe JPM hatunae tena?
Mtoto wa profesa wa mifupa ngeu umembana huko alipoMambo ndo hayo sijui wa DW na BBC watasemajeView attachment 1730904View attachment 1730905View attachment 1730907View attachment 1730909View attachment 1730908View attachment 1730911View attachment 1730910
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae ukampigie tena hukoNilipiga octoba na ndo akaingia madarakani
Mimi sio mnafiki kama wewe mjingaUkisoma comment za watu utajigundua una sifa zote mbili
kimaadili ya kazi za media, sio hekima kuonyesha picha za live za mtu aliyekufa akiwa kwenye jeneza. italeta mixed feelings/reactions kwa watu wengine ambao imani zao haziruhusu kuaga marehemu.Hivi ni kwa nini wachukua picha za video hawachukui sehemu ambayo na sisi tunaoomboleza tukiwa nyumbani tunaweza kuona sura ya Mh. Kwa dakika za mwisho? Au wanakatazwa? Au ndio maadili ya kazi yanawataka hivyo!? Ningetamani waonyeshe kama ilivyokuwaga kwa Hayati Baba Wa Taifa!
Yanaona aibu sasa hv likigogo na Lissu....walianza ujinga jana kwamba kuna gari zinasomba watu.
walipoona haiwezekani huo wimbo kuingia kwenye maskio ya watu timamu wa akili,wakaona wakaushe.
kwa sasa wanasema watu walikwenda kuhakikisha[emoji23][emoji23][emoji23].
watu wanasema ukiukataa ukweli,utakufata kama kivuli chako na kukuzomea.
Wacha niyumbe, hapa nina mabapa matatu ya Konyagi kichwaniAlafu na ww unayumba sana Magu akipondwa umo na ww unaponda! sehemu akisifiwa umo nawe unasifia!!!??
Tek this Magu was a great president copy that.
Alafu na ww unayumba sana Magu akipondwa umo na ww unaponda! sehemu akisifiwa umo nawe unasifia!!!??
Tek this Magu was a great president copy that.
PowMimi sio mnafiki kama wewe mjinga
FIPA tulia,kilio na wewe ni ndugu wa damu,hakitakuacha hata baada ya kifo cha jpm,wewe ni wa kusokotwa tu.Poleni sana MATAGA mwisho wenu ndiyo umetimia sasa.
Huyu mama haitaji majungu yenu
yote sawa tu.Mnahamisha magoli [emoji1787]
aibu kubwa,mbaya zaidi yeyote atakayeongea mbovu kwa sasa anashambuliwa vibaya sana.Yanaona aibu sasa hv likigogo na Lissu....