pole kwa maumivu mkuu,kunywa kahawa.Yaani mnafurahia Rais kuzungushwa mitaani kama sanamu ya mapambo huku akiwa tayari ni marehemu!! Eti mpime ni kwa namna gani anapendwa!!
Inasaidia nini? I wish akapumzishwe mapema iwezekanavyo, na kama ilivyo mila na desturi zetu kama Watamzania/Waafrika.
Poleni sana MATAGA mwisho wenu ndiyo umetimia sasa.Unaonea wivu maiti......!!!
Hao ni wanaharakati na wanasimamia kile wanachokiamini.Sio kweli, mfano mzuri kina lissu, karume fatma, sarungi daunghter na bavicha humu...
Maji na mafuta hayachanganyiki...
Judas Iscariot...Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
Coment yako imeka kidini zaidi sio, kama imekaa kidini naomba unijibu nikuulize swali moja tuYaani mnafurahia Rais kuzungushwa mitaani kama sanamu ya mapambo huku akiwa tayari ni marehemu!! Eti mpime ni kwa namna gani anapendwa!!
Inasaidia nini? I wish akapumzishwe mapema iwezekanavyo, na kama ilivyo mila na desturi zetu kama Watamzania/Waafrika.
kumlilia mtu ni kumlilia tu iwe kwa kiwango hiki cha magufuli, iwe kwa kuigiza au kulia kwa kunung'unika kimyakimya.Idi Amin wanamlilia kwa kiwango hiki cha Magufuli?
Nampenda Mama Samia. Namuunga mkono. Namtakia kila la kheri.Leo baada ya askari kusumbua watu na hata kuwapoga makofi wakati watu wakifosi kuingia walianza sema magufuli hakua anatufanyia hivyo, askari alikua mpole sana.
Kwisha kabisa MATAGA, mlizoea kusambaza siasa za chuki kwa watawala ili muendelee kupewa buku 7 za lumumba.Dodoma siendi. Mie sio kada, ni raia wa kawaida sana hata mtaani kwangu mtendaji mkuu wa serikali ya mtaani kwetu hatujuani, ni mitazamo yenu nyie bavicha ndio mnadhani mie ni kada....
Kwa taifa labda, Africa how?Mkuu,
Hili ni pigo kubwa sana kwa taifa na Africa kwa ujumla, huyu ndugu ntamkumbuka daima, hofu yangu ni kurudi kwa ccm asilia makamba et al,. Hakuna kitu watu wanakichukia kama ufisadi, na uporaji wa maliasili za nchi, Magu alidhibiti mno. Watu waliona kazi zake ndiyo hiyo nyomi mkuu, I will miss him a lot. Rip Magufuli.
Best,
Kejuu
Nashukuru umejibu kistaarabu mama yangu hakukuuliza swali pia ameshatangulia mbele za haki. Mimi siwezi kumuhususha mama yako kwenye huu upuuzi WA mitandao.Dodoma siendi. Mie sio kada, ni raia wa kawaida sana hata mtaani kwangu mtendaji mkuu wa serikali ya mtaani kwetu hatujuani, ni mitazamo yenu nyie bavicha ndio mnadhani mie ni kada....
Unaongea utadhani chadema ndio wanachikua nchi, bado ni sisiemu ile ile inawakimbiza.Poleni sana MATAGA mwisho wenu ndiyo umetimia sasa.
Huyu mama haitaji majungu yenu