Watanzania chochote utakachowahamasish, hasa kisichotumia mtaji, wanahamasika. Hata aje Idd Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo, watajitokeza zaidi ya hapo.
Watasema wamepewa buku tano.If the dead could rise,mzee angeamka akawapa dongo kuwa nimefia nyumbani na ninaagwa kwenye barabara nilizotengeneza kwa pesa yetu wenywewe.
Mkuu,
Hili ni pigo kubwa sana kwa taifa na Africa kwa ujumla, huyu ndugu ntamkumbuka daima, hofu yangu ni kurudi kwa ccm asilia makamba et al,. Hakuna kitu watu wanakichukia kama ufisadi, na uporaji wa maliasili za nchi, Magu alidhibiti mno. Watu waliona kazi zake ndiyo hiyo nyomi mkuu, I will miss him a lot. Rip Magufuli.
Walio wengi hawajaamini kuwa Fascist kuwa kafa, wanaenda kuhakikisha hivi ni kweli maana wengi kwa yale majivuno yake ya kutesa watu na kuua watu hawakudhani kama angekufa tena mapema kiasi hiki.