Hakika kiongozi, hizo ndio siasa za chuki.Magu anapendwa sana. Kuna tatizo moja kubwa sana la propaganda chafu ambazo zjnaendeshwa na kambi pinzani hasa kupitia mitandao ya kijamii. Lakini uhalisia kwa wananchi ni tofauti kabisa.
Tangu amefariki kambi pinzani wamefanya hate campaign kwa kasi kubwa zaidi. Na hata kudanganya dunia kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi mkuu. Angalia mtu kama Fatma Karume anachukua picha ya msafara sehemu ambayo hakuna makazi ya watu na kuzirusha eti watu wachache! na kuficha sehemu kubwa ambako kuna umati wa watu!
Yaani wanachuki iliyopitiliza na isiyo na sababu, kisha eti wanasema eti marehemu ndiyo alikuwa na chuki
Wanaolia hawafiki hata 0.01% ya watanzania.Na yale machozi n ya furaha au huzuni.?
Umati usikusumbue, bali ni umati wa watu gani. Hoja ya vyama vingi umati ulikataa kwa 80%, lakini 20% wakashinda. Kwa watu wa akili za kawaida na za chini wana upeo mdogo ktk kufikiri na kuamua. Na usishangae pamoja na tahadhali ya ugonjwa wa mfumo wa kupumua, wanajazana, kurundikana na kukanyagana. Wengi Wana enda na watoto, mpaka wa migongoni.
Hahahaaa, watanzania hao hao walihamasishwa kuandamana wala hawakuandamana! Unasemaje kuhusu hilo?Watanzania chochote utakachowahamasish,hasa kisichotumia mtaji,wanahamasika. Hata aje Id Amini dada leo au Hitler na itangazwe na ihamasishwe kama hivyo,watajitokeza zaidi ya hapo.
Haya sawa. Mi siwajui.Hata yule aliyemuuzia mahindi ya kuchoma unafikiri ni muuza mahindi haswaa !.Wote hao maafisa kipenyo,nenda na boda boda lako uone kama utaweza kupenya.
Good oneHahahaaa, watanzania hao hao walihamasishwa kuandamana wala hawakuandamana! Unasemaje kuhusu hilo?
😂😂😂,!ndo nn hiki .Hata Kim Jong Un anapendwa sana huko North Korea..
Your source: "Trust me Bro"Leo baada ya askari kusumbua watu na hata kuwapoga makofi wakati watu wakifosi kuingia walianza sema magufuli hakua anatufanyia hivyo, askari alikua mpole sana.
Huwezi ukadai demokrasia ya kwenda kunya juu ya kaburi la mwenzio au demokrasia ya ushoga ukaachwa tu huo ni ukichaaAliminya democracy na waliomchukia ni wale waliokua wanamkosoa ila mengine alikua mtu poa.
Yani mtu yoyote mwenye hoja tofauti na ww,unamuita MaTaga!!haha 😃😃Kwisha kabisa MATAGA, mlizoea kusambaza siasa za chuki kwa watawala ili muendelee kupewa buku 7 za lumumba.
Sasa huyu mama hana mpango wa kuwa na wafanya propaganda za majungu.
Utasema mengi sana ya kebehi lakini utakufa tu Magufuli hakuchaguliwa kuja kukulidhisha weweGwajima si amfufue huyu, watu wanajazana kushangaa muovu na katali kama amekufa kweli, watu hawaamini kama kaenda msukuma mwenzio mwenye asili ya Burundi.
Mimi nimefurahi sana anaenda na mavi yake. Na Sisi tubaki na mavi yetu.
Na wewe ni MATAGA wa kihayaYani mtu yoyote mwenye hoja tofauti na ww,unamuita MaTaga!!haha [emoji2][emoji2]
Baada ya hapo umepata nini cha kukufaidisha maisha yako yote?Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
Hizo ni malikauli..Watu wanachanganya kati ya kumpenda Magufuli na kupenda maiti ya Magufuli.
Wengi tunapenda maiti yake, na ndicho kinatufanya tujae kwa wingi kuishangilia.
Hatuamini kama kweli kafa.
View attachment 1730932
Watanzania siyo manafiki. Wewe siku zote ulidai kuwa yule msaliti na mlevi alipendwa kuliko Magu. Alcoholic wenu alidai Magu hakushinda, maana hapendwi. Sasa Watanzania wanawaonyesha mliyoyasema si kweli wao walimpenda Magu na kumchagua.Macho hayajadanganya.Ni kweli JPM alikuwa anapendwa hata tangu akiwa Waziri kwani alikuwa mtu wa matokeo hasa yanayoonekana.Kukariri kwake takwimu kulimfanya hata akiwa waziri wa ujenzi bajeti yake kupitwa bila mikwara yoyote.
Na ndio maana wengi tunabaki kujiuliza kwa kupendwa kule na huku kwa leo tunakokuona palikuwa na haja gani ya ,
Jambo moja ni wazi na limepata uthibitisho katika kipindi hiki ni kuwa "Watanzania ni wanafiki wa kupindukia"Sorry to say that!!!
- Kunyima uhuru wa vyama vingine vya siasa?
- Kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa
- Kuvuruga uchaguzi mkuu?