Pole sana ikawaje sasa. Ukawa unamficha ficha ama uliacha tu wenzako nao wasome tangazo.Yaani ukishasema Mizigo tu hapo hapo pigia mstari,Hata mm nilikuwa natembe a na Zigo sasa Barabarani kila M2 lazima ageuke Japo nilikuwa mwanaume Wake lkn nilikuwa najikaza 2.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Nimecheka sana mkuu.Kuna situations nyingine usipopiga shingo feni kujiridhisha na kuappreciate ulichokiona hata "mungu" mwenyewe atakushangaa sana
Mmh. Macho hayan pazia kwa wenye mizigo pekee. LolNa ww nawe unawivu macho hayana pazia na ninyi ndio mapambo ya dunia
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Daaah Wivu nilitamani kutembea na spoku ili niwakomeshe Wavimba machoPole sana ikawaje sasa. Ukawa unamficha ficha ama uliacha tu wenzako nao wasome tangazo.
Hahaaaaa. Sio sana aiseeNa nyie kuna watu wanawageukia ujuwe..!! na sisi twavumiliaga tu
Ndiyo Mungu katupa mtihani huo emmyta tutafanyaje sasa! Sie wenyewe hatupendi ila tunalazimika kwa namna Mungu alivyowapendeleaNachukiaga hiyo tabia. Ila ndio hivyo huwa sina jinsi saa nyingine zaidi ya mie kugeuza shingo yangu nami nisome tangazo.
Ila wanaume kwa shingo feni mungu anawaona jamani. Khaa.
Pole sana hivyo nawewe ukasikilizia maumivu tunayoyapata.Daaah Wivu nilitamani kutembea na spoku ili niwakomeshe Wavimba macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa Aise ila nyie hampati maumivu kama sie Aisee,maana ile Kitu na Macho ni kama mapacha VilePole sana hivyo nawewe ukasikilizia maumivu tunayoyapata.
Mmeshauita mtihani mkuu lol. Mi naona mnajiendekeza bana kwani ukipishana na mzigo pasi kugeuza shingo utapungukiwa nini?Ndiyo Mungu katupa mtihani huo emmyta tutafanyaje sasa! Sie wenyewe hatupendi ila tunalazimika kwa namna Mungu alivyowapendelea
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hahaaa. Sitaki kuamini mkuu.Kabisaa Aise ila nyie hampati maumivu kama sie Aisee,maana ile Kitu na Macho ni kama mapacha Vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwe mwe mwe Hujui tu mwili unasisimkaje maana sie Hisia zetu zipo nje bana tofauti na nyie Hisia za ndani kwa ndani,kwanza Wakati mwingine huwa tunaota KabisaaMmeshauita mtihani mkuu lol. Mi naona mnajiendekeza bana kwani ukipishana na mzigo pasi kugeuza shingo utapungukiwa nini?
Ninyi ndio mnaipamba dunia ndio maana tunawatazamaMmh. Macho haya pazi kwa wenye mizigo pekee. Lol
Poleni aisee kwa kusisimukwa kila muonapo mizigo.Mwe mwe mwe Hujui tu mwili unasisimkaje maana sie Hisia zetu zipo nje bana tofauti na nyie Hisia za ndani kwa ndani,kwanza Wakati mwingine huwa tunaota Kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa bila wao tungeshachizikaNinyi ndio mnaipamba dunia ndio maana tunawatazama
Hata kama aisee. Kiwango chenu cha kugeuka ni cha hali ya juu mpaka tusio na mizigo tunakosa amani.Ninyi ndio mnaipamba dunia ndio maana tunawatazama
Unajua tukikutana nanyi kitu cha kwanza kukuvuta ni face/reception. Ikiwa face ipo nzuri, lazima inakuvuta kutaka kuangalia na nyuma mzigo upo?Mmeshauita mtihani mkuu lol. Mi naona mnajiendekeza bana kwani ukipishana na mzigo pasi kugeuza shingo utapungukiwa nini?
Wacha weee. Sio mngeshaizowea hali.Kweli kabisa bila wao tungeshachizika