Macho ya BANGE au Uchungu wa NGWEA? Tuongee ukweli

Macho ya BANGE au Uchungu wa NGWEA? Tuongee ukweli

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
603021_585068551515155_793420805_n.jpg
 
Mkuu hapa Bangi imehusika.... Kama umaarufu wenyewe ndo huu sijui?
 
Ni kama kawaida ya ducha muda wote linaharufu ya nyama.
Hii kitu ukiishiba inakufanya ucopi mazingira fulani.
Inawezekana hata hajaweka ile kitu lakini amekuwa adapted sasa.
 
Hivi sheria za vilevi havimkamati mwenye dalili zote za utumiaji wa madawa ya kulevya kama Bangi,Unga,Mrungi na mvuta bangi?nadhani kungekuwa sheri ahizo ingesaidia kupunguza au kama sii kumaliza tatizo.Sheria isiwe kwa muuzaji,mkulima,au msafirishaji peke yake.imbane pia mtumiaji
 
Ni kama kawaida ya ducha muda wote linaharufu ya nyama.
Hii kitu ukiishiba inakufanya ucopi mazingira fulani.
Inawezekana hata hajaweka ile kitu lakini amekuwa adapted sasa.

Mbona hamuongelei pombe na wabongo kibao wanapombeka kinoma na kusababisha ajali nyingi barabarani bange bange
 
achen ushamba jicholake tu ndo lilivyo watu mmmmmh!
 
Inamana kova hajui kama huyu jamaa anakula bange
 
Hehehe afisa umenufurahsha....kitu autimatically..hehehe
 
Jf kweli kuna mengi !!! Nimecheka sana!!!
 
Back
Top Bottom